Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Uzuri wa hii nchi hata usipokuwa raisi wa nchi utakua raisi wa mioyo ya watanzania,kuna mmoja wa mioyo ya watu bado anaendelea kumaliza muda wake,hata kwa Lisu itakua hivyo hivyo.
 
Uzuriwa hii nchi hata usipokuwa raisi wa nchi utakua raisi wa mioyo ya watanzania,kuna mmoja wa mipyo ya watu bado anaendelea kumaliza muda wake,hata kwa Lisu itakua hivyo hivyo.
[emoji23][emoji23]
 
Jibu zuri sana. Lissu hana visasi vya kubomoa nyumba za watu, wala hawezi kupeleka maendeleo Ikungi pekee. Nchi itaendeshwa kikatiba.

Hakutakuwa na watu kupotea au kutekwa au kuuwawa kiholela
Naamini Lisu akiingia madarakani atawatoa kina Tito Magoti...mwe inaniumaga hii ishu na ya Kabendera...dah..duniani Kuna watu Wana roho za kichawi Sana jamani!..Rip Mama kabendera
 
Back
Top Bottom