Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Uzuriwa hii nchi hata usipokuwa raisi wa nchi utakua raisi wa mioyo ya watanzania,kuna mmoja wa mipyo ya watu bado anaendelea kumaliza muda wake,hata kwa Lisu itakua hivyo hivyo.
Naamini Lisu akiingia madarakani atawatoa kina Tito Magoti...mwe inaniumaga hii ishu na ya Kabendera...dah..duniani Kuna watu Wana roho za kichawi Sana jamani!..Rip Mama kabenderaJibu zuri sana. Lissu hana visasi vya kubomoa nyumba za watu, wala hawezi kupeleka maendeleo Ikungi pekee. Nchi itaendeshwa kikatiba.
Hakutakuwa na watu kupotea au kutekwa au kuuwawa kiholela