Uchaguzi 2020 Lissu akishinda uchaguzi sijui itakuwaje!

Ndoto za bunuasi. Siku Chadema wakiamua kwa dhati kupambana na Dola, nitajiunga nao ila kwa sasa hapana, acha niwe obzeva tu
Wanajiandaa kupambana kwa kutumia uma
 
Labda atashinda uchaguzi kuwa Rais wa tweeter JF na FB.
 

Mwalimu wetu wa Madrassa alipenda sana kutuasa kuacha kabisa tabia ya KUJIAPIZA kwani kwa Mungu lolote linawezekana....
 
Na kwa ubaguzi na ushalimu wenu huo ndo maana mwaka huu historia inaenda kuandikwa kwa nyie CCM kuwa wapinzani rasmi kuanzia October 2020!
Haitatokea sio leo wala kesho nakwambia jaribio jingine la kuiangusha CCM ni mwaka 2045.
Na mpaka mpasuko utokee ndani ya chama.

Yaani ni kama mwaka huu CCM ingemkata Magufuli asigombee, halafu Magu atoke aende hata NLD. Nakwambia NLD ingeshinda kwa nguvu aliyonayo Magufuli.

Kwa sasa endeleeni kuwa alarm tu ya kuwaamsha watawala wasilale jumla[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani CCM kiwaze kuwa chama cha upinzani?? Kwa sera zipi?? Kwa mikakati ipi mliyonayo ninyi wapinzani?.Mnafikili kushika dola ni kama kuokota embe dodo!
 
Mafisadi yatakimbia uhamishoni kutafuta asylum
 
Vyama vya upinzani kama wangemsimamisha mgombea mmoja kidogo ingesaidia kinyume na hapo wameula wa chuya.
 
Amini nakuaminia, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 - 2025 ni Tundu Antipas Lissu.
Na kwa kukuhakikishia, Magufuli anaenda kukanwa na wenye CCM yao mwaka huu.
Labda kama Lisu aje na tume yake ila kwa tume hiihii ni ndoto
 
lini amewahi shinda chochote,
hayo mnayojidaia yamemsaidia nini mtz.
Hta mpewe miaka 60 hakuna mrradi utakaokamilika mmefika mwisho wa kukopa mtapokea wapi ili kukamilisha hio miradi na pesa za ndani zinatosha kulipia mishahara tu
 
Sasa huo umma uko wapi ambao unaweza kumkataa Magufuli leo ?
Wakati mwingine tuache ushabiki maandazi. Yaani kweli ndani kabisa ya nafsi yako unaona uwezekano wa CCM kutoka kwenye hatamu ?


Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ndugu zake ccm mfano KANU nk walishindwa vipi kuendeleea,anga limeshaikataa ccm.
kama ameumiza na kusomesha wengi namba kwann asiisome nae october.
kuna mtz yeyeto mwenye akili timamu atachagua kuteswaa tena 5 yrs
 
isingepangwa kuwa asingeponza kwenye zile bullet 16 ni hadi kusudio la MUNGU litimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…