Sure kaka haichekeshi,haikupi sifaPunguza jazba mkuu
Ha ha....Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo Chadema itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege mara kwa mara, hivyo kuongeza gharama .
Ni vyema Mbowe abaki kuwa Mwenyekiti kwa kuwa kaonyesha si mwoga, na anajisimamia.
N.B: Sijaongelea akiwa Rais, itakuwa hatari zaidi
Mambo ya uraia wa nchi mbili, mwanae nasikia ameingia jeshini huko, akiwa mkuu wa Majeshi, baba Rais TanzaniaHa ha....
Duh, yaani kama itakuwa ndivyo hivyo, ni rahisi kuunganisha vijidoti vyake kutaka Katiba mpya....Je, anataka kubadilisha kipengele au vipengele vinavyodai ofisi za chama cha Siasala viwe na anwani Tanzania? aisee haya mambo yanaibua maswali kedekede....ni maoni yangu kuhusu hilo juu ya Katiba kubadilishwa kuumpa uwezo wa kututawala akiwa Nje ya Nchi?
Tusubiri tuone
Mbona itakuwa tafrani kwa tunaopewa majina ya magenge ya Ukabila. Tutaangamizwa. manake ukifundishwa na mbinu za akina King Leopold! mhhhMambo ya uraia wa nchi mbili, mwanae nasikia ameingia jeshini huko, akiwa mkuu wa Majeshi, baba Rais Tanzania
Sukuma gang mmelialia sana Mbowe aachie ngazi lakini sasa hapa tena mnaingia hofu kwamba hata akiachia ngazi Lissu asiwe mwenyekiti? Duh kweli mmeweza.Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege mara kwa mara, hivyo kuongeza gharama .
Ni vyema Mbowe abaki kuwa Mwenyekiti kwa kuwa kaonyesha si mwoga, na anajisimamia.
N.B: Sijaongelea akiwa Rais, itakuwa hatari zaidi