kulalamika si ndio hulka ya huyo mropokaji gentleman? hilo nalo ni habari kweli?🐒
Hayawani punguani mwingine huyu hapa!
kulalamika si ndio hulka ya huyo mropokaji gentleman? hilo nalo ni habari kweli?🐒
kila kitu analalamika tu bila kujua chanzo cha yote hayo ni uropokaji wakeHayawani punguani mwingine huyu hapa!
Nani kakwambia upelelezi haujakamilika? Hujasikia wakili mbobevu mwandamizi wa serikali akisema upelelezi umekamilika na DPP amepeleka shauri mahakama kuu? Unasikilizaga mihemko bila kusikiliza vitu muhimu.Umpumbavu kabisa. Hajakulilia wewe na wala hahitaji msaada wako. Anachokipigia ni haki yake kikatiba kama mnafuata sheria kwanini mlimkamata kabla ya upelelezi wenu butu haujakamilika?
Unajua kusoma ila hujui kufahamu kilichoandikwa.Nani kakwambia upelelezi haujakamilika? Hujasikia wakili mbobevu mwandamizi wa serikali akisema upelelezi umekamilika na DPP amepeleka shauri mahakama kuu? Unasikilizaga mihemko bila kusikiliza vitu muhimu.
Huyo kibaraka lenu aache kulialia km jike linalotaka kujifungua atii taratibu za mahakama na taratibu za jeshi la magereza. Huyo mnyaturu ni mpumbavu sana hasa akiwa mbele za watu na camera. Kimsingi mtu anangependa kufanya uasi ndio maana anashindwa kutii ht wanajeshiView attachment 3407920
Shauri la kupinga mashahidi kufichwa kwenye kesi ya uchochezi mbele ya Judge Elizabeth Mkwizu leo Julai 16, 2025
Shauri hilo limefunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA kuomba mapitio ya mahakama, akipinga uamuzi wa Mahakama ya Kisutu kutoa ulinzi kwa baadhi ya mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni katika Mahakama ya Kisutu.
Pia soma > DSM - GE2025 - Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza
Chanzo: Hilda Newton (X)
Mawakili wa Serikali ambao ni wajibu maombi wanaongozwa na Nasoro Katuga, Job Mrema, Cathbert Mbiringe na Winiwa Kasawa
Waombaji ni Wakili Mpale Mpoki akisaidiwa na Alute Mugwai, Mtobesya, Hekima Mwasipu, Paul Kisabo, Jebra Kambole, Deogratias Mahinyila, Dickson Matata na Nashon Nkungu.
Wakili wa Serikali Katuga anasema maombi yamekuja kwa necessary orders tuko tayari.
Wakili Mpoki anasema sisi tuko tayari kwa kusikilizwa maombi haya.
Judge anamuuliza kama Wakili wa serikali yuko tayari kusikilizwa? Anajibu kuwa yuko tayari kusikilizwa.
Mahakama imetulia kidogo. Judge anaandika, kisha anasema, kwa vile nyaraka zote zimekamilika waendelee kusikiliza shauri.
Wakili Mpale Mpoki anasimama na kuomba Dk Rugemeleza Nshala aongezwe kwenye quorum.
Pia Mpoki anasema naomba mahakama iwapatie mwelekeo kwenye suala lifuatalo.
Lissu alalamika kuzuiwa kuongea na mawakili wake
Anaanza Tundu Lissu anasema amekuwa akizuiwa kuongea na mawakili wake tatizo ambalo halikuwanza leo.
“Lilianza siku ya Ijumaaa tulipokuja kusikiliza uamuzi.
Nilipofika mahakamani siku hiyo ya Ijumaaa mahakama haikuwa hata imefunguliwa nilipelekwa lockup na nilikaaa lockup mpaka kesi ilipoitwa nafikiri majira ya saa sita (mchana).
Katika kipindi chote niliwaomba maaskari waniite mawakili ili nishauriane nao kwasababu sikuwa nimeshauriana nao.
Waliniambia haya lakini hakuitwa mawakili. Nilipoingia mahakamani nikauliza kwanini mawakili hamjaja? Dk Nshala akanijibu maaskari wamenikatalia.
Anaendelea Tundu Lissu, kama kawaida askari Magereza waliovaa kininja wapo wakutosha wamezunguka kizimba.
Baada ya kutoka mahakamani mawakili waliniletea nyaraka alikuwa ni Wakili Nashon Nkungu bila aibu maaskari wamegereza wakazinyakua na nilipozidai wakamrudishia.
Kwahiyo hata kubadilishana nyaraka lazima nipate ruhusa ya magereza.
Leo tumeitwa mapema. Nimekuja hapa, Wakili Paul Kisabo ameniletea Documents za kesi zinazohusiana na mashauri haya hapa tulipo. Anataka kunikabidhi amezuiliwa.
Ni marufuku kwa mawakili kumpa mteja wake nyaraka ni Magereza ndio wanaamua. Kwenye chumba cha mahakama.
Mheshimiwa Judge hii sio mahakama ya kijesho. This is a civilian Court. Hata kwa kuangalia. Watu wanakuja wamevaa kama unavyoona. This must remain a civilian court, and in a civilian Court, the Boss is the Judge. Na sio hawa mapolisi ambao hatuwaoni hata sura zao.
Anaendelea hapa Tundu Lissu....
“Mawasiliano kati ya mawakili na wateja wao ni absolute privilege. Hayawezi kuwa subject to mamlaka nyingine. Hawa Magereza yanawahusu mambo haya ya mimi kuwasiliana na mawakili wangu.
Mimi niko gerezani siku 98 na hii haki yangu ya kuwasiliana na mawakili wangu inanihusu pia. Ni haki yangu kabisa.
Sasa lazima leo tukubaliane kuhusu sheria za Magereza zinasemaje…Prisons Management Regulations 1987 GN. no. 60/1987.
Ukisoma reg. 13 inasema kuhusu mawakili na wafungwa au mahabusu ambao ni wateja wao. Kwamba mawakili watahitajika kupewa nafasi ya kuwasiliana na mawakili wao bila kuingiliwa. Wanapaswa kuonekana lakini sio kusikilizwa.
Anaendelea Mwenyekiti Tundu Lissu hapa, anaomba pia asome yaliyoandikwa kwenye THE BOARD OF PRINCIPLES TO PERSONS UNDER CUSTODY ...... ambayo ilikuwa adopted UN General Assembly 1988.
Principle 18(3) inasema kwamba haki ya mtu anayeshikiliwa ni mawakili wake kupewa nafasi ya kuonana nao na kutokuingiliwa lakini kama kutakuwa na jambo la msingi la kuzuiwa liwe limeelezwa na sheria au amri ya mahakama.
Sasa mhehsimiwa Judge haya yanayotokea ni dharau ya mahakama tukufu kwasababu yanatokea mahakakani.
Hivi nilivyozingirwa unawezaje kusema hapa kuna fair trial.
Sasa leo Judge useme na wewe kuwa kuna privilege ya mimi na mawakili wangu au haipo? Useme leo.
Ili tuone watakusikiliza na wewe au na wewe hawatakusililiza.
Part 2 itaendelea kwenye post inayofuata
We una mavi kichwani, heshimu watu hiyo hbr ya intelligence ya huyo lofa ni mawazo yako, kila mtu kwenye kazi yake ni intelligent. Hiyo intelligence ya huyo kibaraka mlipima kwa kutumia nini? Ushabiki wa ******* tu. Angekuwa intelligent asingekuwa korokoroni sahv msidanganye watu, mtu amejaa lugha chechefu, mzushi, mwongo, mchochezi, mdomo umejaa matusi, hana adabu, ni wapi umeona hp duniani mwasiasa mwerevu anapayukapayuka km Lissu. Nipatie ht quotes 5 tu maarufu za Lissu. Hebu jaribu kujikumbusha kuhusu Nelson Mandela, ulishawahi ona akipayuka? Ni mtulivu, msikivu, mnyekekevu, mtiifu, quotes zake zimejaa dunia nzima mpaka wazungu wanazi-appreciate. Na Nelson Mandela dunia ilikuwa inamwelewa anagombania nini, huyo lofa anagombania nini zaidi ya kuwa ni kibaraka? Mtu mwenye akili ht kidogo hawezi kubishana na maaskari. Magu alishamaliza kazi huyu Rais kwa kiherehere chake amejitakia hizo shida.Wonderful enough, such fools (incompetent people) have more confidence in convicing other people, if you compare them with intelligent people.
Ahsante baba kwa uelewa wako.Lissu aache kulia lia kila siku.
ILA jamaa ametakata sanaView attachment 3407920
Shauri la kupinga mashahidi kufichwa kwenye kesi ya uchochezi mbele ya Judge Elizabeth Mkwizu leo Julai 16, 2025
Shauri hilo limefunguliwa na Mwenyekiti wa CHADEMA kuomba mapitio ya mahakama, akipinga uamuzi wa Mahakama ya Kisutu kutoa ulinzi kwa baadhi ya mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo mtandaoni katika Mahakama ya Kisutu.
Pia soma > DSM - GE2025 - Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza
Chanzo: Hilda Newton (X)
Mawakili wa Serikali ambao ni wajibu maombi wanaongozwa na Nasoro Katuga, Job Mrema, Cathbert Mbiringe na Winiwa Kasawa
Waombaji ni Wakili Mpale Mpoki akisaidiwa na Alute Mugwai, Mtobesya, Hekima Mwasipu, Paul Kisabo, Jebra Kambole, Deogratias Mahinyila, Dickson Matata na Nashon Nkungu.
Wakili wa Serikali Katuga anasema maombi yamekuja kwa necessary orders tuko tayari.
Wakili Mpoki anasema sisi tuko tayari kwa kusikilizwa maombi haya.
Judge anamuuliza kama Wakili wa serikali yuko tayari kusikilizwa? Anajibu kuwa yuko tayari kusikilizwa.
Mahakama imetulia kidogo. Judge anaandika, kisha anasema, kwa vile nyaraka zote zimekamilika waendelee kusikiliza shauri.
Wakili Mpale Mpoki anasimama na kuomba Dk Rugemeleza Nshala aongezwe kwenye quorum.
Pia Mpoki anasema naomba mahakama iwapatie mwelekeo kwenye suala lifuatalo.
Lissu alalamika kuzuiwa kuongea na mawakili wake
Anaanza Tundu Lissu anasema amekuwa akizuiwa kuongea na mawakili wake tatizo ambalo halikuwanza leo.
“Lilianza siku ya Ijumaaa tulipokuja kusikiliza uamuzi.
Nilipofika mahakamani siku hiyo ya Ijumaaa mahakama haikuwa hata imefunguliwa nilipelekwa lockup na nilikaaa lockup mpaka kesi ilipoitwa nafikiri majira ya saa sita (mchana).
Katika kipindi chote niliwaomba maaskari waniite mawakili ili nishauriane nao kwasababu sikuwa nimeshauriana nao.
Waliniambia haya lakini hakuitwa mawakili. Nilipoingia mahakamani nikauliza kwanini mawakili hamjaja? Dk Nshala akanijibu maaskari wamenikatalia.
Anaendelea Tundu Lissu, kama kawaida askari Magereza waliovaa kininja wapo wakutosha wamezunguka kizimba.
Baada ya kutoka mahakamani mawakili waliniletea nyaraka alikuwa ni Wakili Nashon Nkungu bila aibu maaskari wamegereza wakazinyakua na nilipozidai wakamrudishia.
Kwahiyo hata kubadilishana nyaraka lazima nipate ruhusa ya magereza.
Leo tumeitwa mapema. Nimekuja hapa, Wakili Paul Kisabo ameniletea Documents za kesi zinazohusiana na mashauri haya hapa tulipo. Anataka kunikabidhi amezuiliwa.
Ni marufuku kwa mawakili kumpa mteja wake nyaraka ni Magereza ndio wanaamua. Kwenye chumba cha mahakama.
Mheshimiwa Judge hii sio mahakama ya kijesho. This is a civilian Court. Hata kwa kuangalia. Watu wanakuja wamevaa kama unavyoona. This must remain a civilian court, and in a civilian Court, the Boss is the Judge. Na sio hawa mapolisi ambao hatuwaoni hata sura zao.
Anaendelea hapa Tundu Lissu....
“Mawasiliano kati ya mawakili na wateja wao ni absolute privilege. Hayawezi kuwa subject to mamlaka nyingine. Hawa Magereza yanawahusu mambo haya ya mimi kuwasiliana na mawakili wangu.
Mimi niko gerezani siku 98 na hii haki yangu ya kuwasiliana na mawakili wangu inanihusu pia. Ni haki yangu kabisa.
Sasa lazima leo tukubaliane kuhusu sheria za Magereza zinasemaje…Prisons Management Regulations 1987 GN. no. 60/1987.
Ukisoma reg. 13 inasema kuhusu mawakili na wafungwa au mahabusu ambao ni wateja wao. Kwamba mawakili watahitajika kupewa nafasi ya kuwasiliana na mawakili wao bila kuingiliwa. Wanapaswa kuonekana lakini sio kusikilizwa.
Anaendelea Mwenyekiti Tundu Lissu hapa, anaomba pia asome yaliyoandikwa kwenye THE BOARD OF PRINCIPLES TO PERSONS UNDER CUSTODY ...... ambayo ilikuwa adopted UN General Assembly 1988.
Principle 18(3) inasema kwamba haki ya mtu anayeshikiliwa ni mawakili wake kupewa nafasi ya kuonana nao na kutokuingiliwa lakini kama kutakuwa na jambo la msingi la kuzuiwa liwe limeelezwa na sheria au amri ya mahakama.
Sasa mhehsimiwa Judge haya yanayotokea ni dharau ya mahakama tukufu kwasababu yanatokea mahakakani.
Hivi nilivyozingirwa unawezaje kusema hapa kuna fair trial.
Sasa leo Judge useme na wewe kuwa kuna privilege ya mimi na mawakili wangu au haipo? Useme leo.
Ili tuone watakusikiliza na wewe au na wewe hawatakusililiza.
Part 2 itaendelea kwenye post inayofuata
Hao wapumbavu wanataka wajipangie utaratibu wao wanavyotaka, wana wenge, wanawashwa utafikiri wanajua uamuzi wa hiyo kesi. Huyo kibaraka apigwe mvua kadhaa aheshimu mahakamaNani kakwambia upelelezi haujakamilika? Hujasikia wakili mbobevu mwandamizi wa serikali akisema upelelezi umekamilika na DPP amepeleka shauri mahakama kuu? Unasikilizaga mihemko bila kusikiliza vitu muhimu.
Apewe mvua kadhaa apendeze zaidiILA jamaa ametakata sana
Pombe Ilikua Inamzeesha
Huoni ht aibu kubishana na mtu mwenye akili? Shame on you!Unajua kusoma ila hujui kufahamu kilichoandikwa.
Wewe unaakili iko wapi kama umeshindwa ni kufahamu nilichoandika. Sijui hizo akili umepewa huko lumumba.Huoni ht aibu kubishana na mtu mwenye akili? Shame on you!
Why Umfunge mgonjwa?Apewe mvua kadhaa apendeze zaidi
Nonsense.Lissu aache kulia lia kila siku.
Foolish comment.kulalamika si ndio hulka ya huyo mropokaji gentleman? hilo nalo ni habari kweli?🐒
Mifi 💩💯%We
We una mavi kichwani, heshimu watu hiyo hbr ya intelligence ya huyo lofa ni mawazo yako, kila mtu kwenye kazi yake ni intelligent. Hiyo intelligence ya huyo kibaraka mlipima kwa kutumia nini? Ushabiki wa ******* tu. Angekuwa intelligent asingekuwa korokoroni sahv msidanganye watu, mtu amejaa lugha chechefu, mzushi, mwongo, mchochezi, mdomo umejaa matusi, hana adabu, ni wapi umeona hp duniani mwasiasa mwerevu anapayukapayuka km Lissu. Nipatie ht quotes 5 tu maarufu za Lissu. Hebu jaribu kujikumbusha kuhusu Nelson Mandela, ulishawahi ona akipayuka? Ni mtulivu, msikivu, mnyekekevu, mtiifu, quotes zake zimejaa dunia nzima mpaka wazungu wanazi-appreciate. Na Nelson Mandela dunia ilikuwa inamwelewa anagombania nini, huyo lofa anagombania nini zaidi ya kuwa ni kibaraka? Mtu mwenye akili ht kidogo hawezi kubishana na maaskari. Magu alishamaliza kazi huyu Rais kwa kiherehere chake amejitakia hizo shida.