GE2025 Lissu alalamika kuzuiwa kuongea na mawakili wake Mahakama Kuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Umpumbavu kabisa. Hajakulilia wewe na wala hahitaji msaada wako. Anachokipigia ni haki yake kikatiba kama mnafuata sheria kwanini mlimkamata kabla ya upelelezi wenu butu haujakamilika?
Nani kakwambia upelelezi haujakamilika? Hujasikia wakili mbobevu mwandamizi wa serikali akisema upelelezi umekamilika na DPP amepeleka shauri mahakama kuu? Unasikilizaga mihemko bila kusikiliza vitu muhimu.
 
Unajua kusoma ila hujui kufahamu kilichoandikwa.
 
Huyo kibaraka lenu aache kulialia km jike linalotaka kujifungua atii taratibu za mahakama na taratibu za jeshi la magereza. Huyo mnyaturu ni mpumbavu sana hasa akiwa mbele za watu na camera. Kimsingi mtu anangependa kufanya uasi ndio maana anashindwa kutii ht wanajeshi
 
We
Wonderful enough, such fools (incompetent people) have more confidence in convicing other people, if you compare them with intelligent people.
We una mavi kichwani, heshimu watu hiyo hbr ya intelligence ya huyo lofa ni mawazo yako, kila mtu kwenye kazi yake ni intelligent. Hiyo intelligence ya huyo kibaraka mlipima kwa kutumia nini? Ushabiki wa ******* tu. Angekuwa intelligent asingekuwa korokoroni sahv msidanganye watu, mtu amejaa lugha chechefu, mzushi, mwongo, mchochezi, mdomo umejaa matusi, hana adabu, ni wapi umeona hp duniani mwasiasa mwerevu anapayukapayuka km Lissu. Nipatie ht quotes 5 tu maarufu za Lissu. Hebu jaribu kujikumbusha kuhusu Nelson Mandela, ulishawahi ona akipayuka? Ni mtulivu, msikivu, mnyekekevu, mtiifu, quotes zake zimejaa dunia nzima mpaka wazungu wanazi-appreciate. Na Nelson Mandela dunia ilikuwa inamwelewa anagombania nini, huyo lofa anagombania nini zaidi ya kuwa ni kibaraka? Mtu mwenye akili ht kidogo hawezi kubishana na maaskari. Magu alishamaliza kazi huyu Rais kwa kiherehere chake amejitakia hizo shida.
 
ILA jamaa ametakata sana

Pombe Ilikua Inamzeesha
 
Ha
Nani kakwambia upelelezi haujakamilika? Hujasikia wakili mbobevu mwandamizi wa serikali akisema upelelezi umekamilika na DPP amepeleka shauri mahakama kuu? Unasikilizaga mihemko bila kusikiliza vitu muhimu.
Hao wapumbavu wanataka wajipangie utaratibu wao wanavyotaka, wana wenge, wanawashwa utafikiri wanajua uamuzi wa hiyo kesi. Huyo kibaraka apigwe mvua kadhaa aheshimu mahakama
 
Mifi πŸ’©πŸ’―%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…