chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
LEAT ilikuwa ni moja kati ya taasisi kubwa sana, ikipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, kiasi kwamba ikawa na ofisi mikoani, pale Mwanza walikuwa na ofisi jengo la Nyanza ghorofa ya juu,.
LEAT haikudumu. Lissu na Nshalla na mwenzao mmoja sasa marehemu walifyeka hela zote na kuingiza mifukoni mwao kiasi kwamba taasisi ikafa. Utawala wa hovyo ulitamalaki, mpaka leo wameacha madeni ya mishahara ya wafanyakazi.
Huyu ndio mumkabidhi chadema? Like serious? Lile jumba lake pamoja na la Nshalla yalijengwa wakati wizi umetamalaki LEAT.
Chadema sio taasisi ya majaribio!