Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu
REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.?
Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea fedha chafu?. Ndiyo maana tunaendelea kusema kwamba Lissu ni mlamba asali mwenye wivu.
Aliomba Nissan Y62 aliponyimwa amekichafua chama sasa wana drama za kukusanya shilingi kwa wananchi.
As longer as Mbowe ni Mwenyekiti, Lissu ataendelea kutaabika tu.