Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Ukiambiwa dunia duara, au ukaambiwa malipo ni hapahapa duniani ukae uelewe na usibishe.
Wakati Tundu Lisu anasaliti harakati za rais wa awamu ya tano hayati Magufuli, Chadema walikenua meno na kushangilia.
Wakati Lisu anasaliti taifa na kushangilia kukamtwa kwa ndege ambazo zimenunuliwa kwa kodi za Watanzania, Chadema walikenua meno na kushangilia kwa nguvu!
Wahenga walishasema muda ni mwalimu mzuri sasa Tundu Lisu amerudi kusaliti na kuibomoa Chadema na Mbowe.
Freeman Mbowe sasa yuko tumbo joto baada ya Tundu Lisu kuzunguka nchi nzima akimnanga kuwa alipokea hela za Abdul na kuzisamabaza kama rushwa.