technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kushupaza shingo tu Lissu alimshauri Magufuli Kama anataka kufanikiwa kwa ule mfumo wake alio kuwa anaenda nao akajifunze Bolivia jinsi ya kutengeneza mikataba
Magufuli shida yake alitaka kila mtu awe CCM chama mfu kitu ambacho watu makini hawawezi kuingia kwenye uo mfumo...
Magufuli ubishi ulimsababishia matatizo hakuna cha kusalitiwa Wala Nini !!