technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hahaha unachekesha. Ungejua mfumo wa Dkt Magufuli ndiyo unaotamaniwa na kila mwanasiasa hahah. Sisi tupo na tunaahidi hii nchi tutaichukua tena! Na lazima wajinga ka wewe tuwaoneshe maana ya maendeleo siyo ujinga wenu wa wizi wiziHuna akili, kwa hiyo kutukana watu kisa kutoa maoni yao ndio unajiona mjanja? Kama unampenda JPM ni wewe sio lazima kila mtu anampenda.
Hao Team magufuli mbona walishapotezwa wote kwenye ulimwengu wa siasa na hamna kitu walifanya. Muda wenu ulishapita so deal with it.
Unajidanganya, huyo mama yenu keshawang'oa sukuma gang wote kwenye mfumo. Kama mna watu chukueni fomu ya urais mwakani mkishindwa anzisheni chama tuone hiyo nguvu yenuHahaha unachekesha. Ungejua mfumo wa Dkt Magufuli ndiyo unaotamaniwa na kila mwanasiasa hahah. Sisi tupo na tunaahidi hii nchi tutaichukua tena! Na lazima wajinga ka wewe tuwaoneshe maana ya maendeleo siyo ujinga wenu wa wizi wizi
Uko sahihi kabisa, nyumbu wanakera mno
Wapo wengi tu kwa taarifa yako. Intelijensia ya nchi yetu iko vizuri sana. Kinachoendelea ni kukusanya ushahidi waliohusika kumuua Dkt Magufuli LAZIMA waje wakione cha mtema kuni. Unadhani kama siyo kufanya hivyo hao wauaji wa Dkt Magufuli wangejulikana vipi??? Ila now kila muuaji aliyehusika anajulikana!Unajidanganya, huyo mama yenu keshawang'oa sukuma gang wote kwenye mfumo. Kama mna watu chukueni fomu ya urais mwakani mkishindwa anzisheni chama tuone hiyo nguvu yenu
Makonda ,Kabuki, Polepole wamepotezwa kwenye siasa?Huna akili, kwa hiyo kutukana watu kisa kutoa maoni yao ndio unajiona mjanja? Kama unampenda JPM ni wewe sio lazima kila mtu anampenda.
Hao Team magufuli mbona walishapotezwa wote kwenye ulimwengu wa siasa na hamna kitu walifanya. Muda wenu ulishapita so deal with it.
Kamuulize Mbowe amesalitiwaje na LisuTundu Lissu aliwasalitije? Jengeni utamaduni wa kulipa madeni na kufuata Sheria za mikataba ya kimataifa
Na Mbowe amembishia Lisu kwa kukataa kwenda kujifunza Bolivia?Kushupaza shingo tu Lissu alimshauri Magufuli Kama anataka kufanikiwa kwa ule mfumo wake alio kuwa anaenda nao akajifunze Bolivia jinsi ya kutengeneza mikataba
Magufuli shida yake alitaka kila mtu awe CCM chama mfu kitu ambacho watu makini hawawezi kuingia kwenye uo mfumo...
Magufuli ubishi ulimsababishia matatizo hakuna cha kusalitiwa Wala Nini !!
Hueleweki wapi unasimamia.Moto wa Lisu unamwakia gaidi
Kwa hiyo huko ndiko kumsaliti?Tutashitakiwa MIGA
Mbowe amenangwa tena na leoKwa hiyo huko ndiko kumsaliti?
Walikubaliana lini na baadae akamsaliti?
Kwani hatulipi hizo fedha?
Fedha tunalipa sana kwa kukataa ushauri wa wanasheria na kuamua kwa mihemko eti kila Mtanganyika atapata Noah! Wapi?