TUMI EPAFRA
Member
- Jul 12, 2020
- 59
- 56
Alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe rais wetu? Alisema Magiufuli atake asitake korona intamshinda na kuthibitisha hana uwezo wa kuongoza, alitaka korona ituue kwa wingi kuthibitisha yake sio?
Si lolote si chochote ila anataka urais anufaike yeye na jamaa zake tu, kwanza anaongea kama dikteta, hana sera ila malalamiko.
Huyu mlafi wa madaraka analazimisha vyama vingine vimteue yeye, demokrasia uchwala ya Tanzania pekee, kichekesho fulani. Jamaa ana maghadhabu na mchonganishi kibaraka wa mabeberu muuza nchi mtumwa wa akili.