kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Amani kwenu wana jukwaa
Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia
Badala yake nguvu zote wamezihamishia kumshambulia tundulisu kwa nguvu zao zote
Je lissu aliwakosea nini wana CCM
Mumesahau mpaka rais Samia kumuanzishia nyuzi za kumsifia
Naona lisu kawaweka bize mpaka mumesahau Samia
Ana kosa gan huyu mnyaturu alilowakosea
Asante