kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Hawapendi kuona ama kusikia neno haki likitendwa ama kutendeka kwa haki,usawa na ukweli.Hapo ndio shida yao ilipo.Amani kwenu wana jukwaa
Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao...
Sijaona mtanzania mwenye shida na lisu ila nawaona CCM ndo wana hahaNilichogundua, watanzania wamemstukia Lissu kwamba anataka kuwatapeli kisiasa
Watanzania hao ni akina nani?Nilichogundua, watanzania wamemstukia Lissu kwamba anataka kuwatapeli kisiasa
Lissu ndo rais wetu ajaye wa jamhuri ya muungano wa TANZANIANilichogundua, watanzania wamemstukia Lissu kwamba anataka kuwatapeli kisiasa
Nyeupe ni nyeupe, nyeusi ni nyeusi hii CCM hawawezi ndiyo maana wanaogopa.Amani kwenu wana jukwaa
Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia
Badala yake nguvu zote wamezihamishia kumshambulia tundulisu kwa nguvu zao zote
Je lissu aliwakosea nini wana CCM
Mumesahau mpaka rais Samia kumuanzishia nyuzi za kumsifia
Naona lisu kawaweka bize mpaka mumesahau Samia
Ana kosa gan huyu mnyaturu alilowakosea
Asante
Labda Lais wa CHANETALissu ndo rais wetu ajaye wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA
Nyerervwa kizazi hikiAmani kwenu wana jukwaa
Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia
Badala yake nguvu zote wamezihamishia kumshambulia tundulisu kwa nguvu zao zote
Je lissu aliwakosea nini wana CCM
Mumesahau mpaka rais Samia kumuanzishia nyuzi za kumsifia
Naona lisu kawaweka bize mpaka mumesahau Samia
Ana kosa gan huyu mnyaturu alilowakosea
Asante
Ongezea Mwashambwa,Luca,Comte na MtambukaMimi Wakusoma 12 pamoja na chiembe
Lisu ndiye mpinzani wa kweli wa ccm. Mbowe ni .pandikizi la ccm linalovuna pesa toka ccm. Ndiyo maana hata dikteta jiwe alimchukia zaidi Lisu na siyo MboweBadala yake nguvu zote wamezihamishia kumshambulia tundulisu kwa nguvu zao zote
Je lissu aliwakosea nini wana CCM
Tundu Lissu anashambuliwa na makundi yote ya CCM na CHADEMAAmani kwenu wana jukwaa
Toka lissu atangaze kugombea uenyekiti wa chama taifa nimewaona wana CCM wakimsusa na kumsahau kabisa kumpigia makofi na mapambio mwenyekiti wao Samia
Badala yake nguvu zote wamezihamishia kumshambulia tundulisu kwa nguvu zao zote
Je lissu aliwakosea nini wana CCM
Mumesahau mpaka rais Samia kumuanzishia nyuzi za kumsifia
Naona lisu kawaweka bize mpaka mumesahau Samia
Ana kosa gan huyu mnyaturu alilowakosea
Asante
Hawezi pita huyo mtu wenu hata Kwa dawaAmani kwenu wana jukwaa