Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
Najua ni kosa la jinai kuwakosoa lakini nadhani haya ni mapungufu yasiyohitaji Katiba mpya kuyarekebisha. Lissu amehutubia taifa kupitia YouTube, Spaces na Clubhouse kama sijakosea, lakini akaunti ya Chadema Taifa (@ChademaTz) haikuleta updates zozote za hotuba hiyo. Last tweet ni jana kuwa leo Lissu atahutubia.
Kwenda kidigitali sio kuwa na app tu bali kutumia digital platforms mbalimbali ikiwa ni pamoja na akaunti ya chama.
Au anahujumiwa? 😊