Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Lissu ameshamshinda Mbowe!!

View attachment 3184279
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Freeman Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Freeman Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na wajumbe walio chini yao jibu ni HAPANA.

Freeman Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono au asiyemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara ya pili, Swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kwa Mwenyekiti wa Taifa.

Kama hivyo ndivyo tujiuluze polepole kabisa Freeman Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliowatosa wenyeviti wa Kanda waliohudumu kwa miaka mitano tu akiwemo Bwana Peter Msigwa, Kisayansi nikisema wapigakura hawa hata yeye pia hawatamchagua kwa kuwa anamiaka 20 madarakani nakosea?
Jibu ni HAPANA.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi tena bila bias yoyote ni ukweli mchungu kwamba kaka yangu Freeman Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi kufanyika.

2. Freeman Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayoyapitia wapigakura hawa ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha anachoweza kukitaja Freeman Mbowe hivyo ni wazi wapigakura hawa hawawezi kuchagua Ofisi au pesa ambazo hata haziwafikii Majimboni kwao na nirahisi kwao kuchagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wale wote wanao waongoza ila ni ngumu zaidi kwao kuchagua pesa au mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo kwa asili si ya CHADEMA huwa ni mwiko na taboo kwa CHADEMA tunayoifahamu, Kwa tetesi na tuhuma zote hizi zinazoelekezwa kwa Freeman Mbowe na maswaiba wake ni wazi haaminiki tena kwa wadau wote wa maendeleo ya CHADEMA ikiwa ni wandau wa ndani au wanje ya nchi, Nirahisi wajumbe kuona kumchagua Freeman Mbowe ni kufunga kabisa milango yao yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hii pia ishara kuwa Freeman Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa Kwakuwa misaada ni muhimu zaidi kwa Ujenzi wa Chama na wajumbe ni ngumu kuchagua Freeman Mbowe na kuacha michango na misaada ya wahisani.

4. Freeman Mbowe kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa au kujipanga kutumia pesa ili kutongoza wajumbe ni kielelezo kingine Cha Mwisho kwamba Freeman Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si utamaduni wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani hili wajumbe hata kama watapokea pesa mwisho watamnyima kura kwani ni jambo geni kwao kuhongwa ili kumchagua Mwenyekiti wao wa Taifa.

5. Kura za maoni toka kwenye Mitandao ya Kijamii, Hiki pia ni kielelezo cha Mwisho Cha haya ninayoyaandika wakati kule Jf Tundu Lissu ana 81% Freeman Mbowe ana 19% kule Jambo TV Tundu Lissu ana 84% wakati Freeman Mbowe ana 16% hizi ni namba na namba huwa hazina kasumba ya kudanganya.

MBOWE KASHINDWA KABLA YA KUSHINDWA

×××××××
Lissu ni mshindi
 
Sababu itakayomfanya Lisumbufu ashinde ni moja tu (kama ipo) Wenyeviti wa kanda, makatibu, wajumbe wa mabaraza ya kinda, wanataka pesa ya chama ije chini mashinani ili na wao wapate ulaji na kujenga matawi pia.
Itakayomfanya asishinde ni kama dola haimtaki awe mwenyekiti, atawasumbua kwani kauli zake hazina staha na anaweza akakijenga chama mashinani na inaweza kutoa upinzani mkali kwenye ubunge. tofauti na DJ alivyo ambapo maslahi kwanza ni yeye. So dola ikiingilia kati Lisumbufu hatoboi.
 
Changine kitakachomfanya Issu ashindwe ni ile kujifanya mtu wa utaratibu sana na sheria. Mwenzake ni mtu wa janjajanja nyingi. Ana uwezo wa kupindisha mambo mengi ya kiuchaguzi (amekuwa hapo 25 yrs so amejijengea himaya) Ndo mana Lissu amesema " kama taratibu zikifuatwa" anamjua Mwenyekiti wake
 
Ropo amshimde kamanda wa anga....

Wakati kamanda wa anga mwaka 2005 anapepea na private helcopta jamaa yenu alikiwa shule - kuwa na adabu kidogo bwa mdogo.
 
View attachment 3184279
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA

Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura,

1. Uchaguzi wowote ni namba mpaka sasa kundi linalomuunga mkono Freeman Mbowe ni tabaka la juu tu la Viongozi hasa wajumbe wa Kamati kuu kutoka Kanda ambao hesabu yao hawaizidi watu Saba (7 ),

Freeman Mbowe lazima atambue ni kosa kudhani kwakuwa anaungwa mkono na wenyeviti wa Kanda automatically ataungwa mkono na wajumbe walio chini yao jibu ni HAPANA.

Freeman Mbowe kwa utulivu kabisa lazima akumbuke hakuna Mwenyekiti yoyote wa Kanda anayemuunga mkono au asiyemuunga mkono aliyechaguliwa kwa mara ya pili, Swali ni kwanini? Jibu Wapigakura hawa wanataka Uongozi mpya kuanzia chini mpaka juu kwa Mwenyekiti wa Taifa.

Kama hivyo ndivyo tujiuluze polepole kabisa Freeman Mbowe anayeomba kuchaguliwa kwa mara ya tano mfululizo na wajumbe wale wale waliowatosa wenyeviti wa Kanda waliohudumu kwa miaka mitano tu akiwemo Bwana Peter Msigwa, Kisayansi nikisema wapigakura hawa hata yeye pia hawatamchagua kwa kuwa anamiaka 20 madarakani nakosea?
Jibu ni HAPANA.

Sasa kwa utafiti huu wa kisayansi tena bila bias yoyote ni ukweli mchungu kwamba kaka yangu Freeman Mbowe ameshapigwa kabla hata ya Uchaguzi kufanyika.

2. Freeman Mbowe amepoteza imani kwa wapigakura wake hasa baada ya kusema maridhiano yamenunua Ofisi ya bilioni 1 kama Mafanikio wakati madhila wanayoyapitia wapigakura hawa ni makubwa kuliko kiasi chochote Cha fedha anachoweza kukitaja Freeman Mbowe hivyo ni wazi wapigakura hawa hawawezi kuchagua Ofisi au pesa ambazo hata haziwafikii Majimboni kwao na nirahisi kwao kuchagua zaidi hatma ya Uhai wao na hatma za wale wote wanao waongoza ila ni ngumu zaidi kwao kuchagua pesa au mali.

3. Kashfa za rushwa, Ufisadi na kulamba asali haya mambo kwa asili si ya CHADEMA huwa ni mwiko na taboo kwa CHADEMA tunayoifahamu, Kwa tetesi na tuhuma zote hizi zinazoelekezwa kwa Freeman Mbowe na maswaiba wake ni wazi haaminiki tena kwa wadau wote wa maendeleo ya CHADEMA ikiwa ni wandau wa ndani au wanje ya nchi, Nirahisi wajumbe kuona kumchagua Freeman Mbowe ni kufunga kabisa milango yao yote ya misaada kutoka kwa wafadhili na wahisani wa CHADEMA hii pia ishara kuwa Freeman Mbowe tayari ameshapigwa kabla ya Kupigwa Kwakuwa misaada ni muhimu zaidi kwa Ujenzi wa Chama na wajumbe ni ngumu kuchagua Freeman Mbowe na kuacha michango na misaada ya wahisani.

4. Freeman Mbowe kwa tetesi za yeye na team yake kuanza kugawa pesa au kujipanga kutumia pesa ili kutongoza wajumbe ni kielelezo kingine Cha Mwisho kwamba Freeman Mbowe huyu si yule wa miaka yote na utamaduni wa kuhongana si utamaduni wala msingi wa CHADEMA ya Mtei Wala Ile ya Bob Nyanga Makani hili wajumbe hata kama watapokea pesa mwisho watamnyima kura kwani ni jambo geni kwao kuhongwa ili kumchagua Mwenyekiti wao wa Taifa.

5. Kura za maoni toka kwenye Mitandao ya Kijamii, Hiki pia ni kielelezo cha Mwisho Cha haya ninayoyaandika wakati kule Jf Tundu Lissu ana 81% Freeman Mbowe ana 19% kule Jambo TV Tundu Lissu ana 84% wakati Freeman Mbowe ana 16% hizi ni namba na namba huwa hazina kasumba ya kudanganya.

MBOWE KASHINDWA KABLA YA KUSHINDWA

×××××××
Inafanana na ukweli
 
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom