Lissu ameshamshinda Mbowe!!

Lissu ni mshindi
 
Sababu itakayomfanya Lisumbufu ashinde ni moja tu (kama ipo) Wenyeviti wa kanda, makatibu, wajumbe wa mabaraza ya kinda, wanataka pesa ya chama ije chini mashinani ili na wao wapate ulaji na kujenga matawi pia.
Itakayomfanya asishinde ni kama dola haimtaki awe mwenyekiti, atawasumbua kwani kauli zake hazina staha na anaweza akakijenga chama mashinani na inaweza kutoa upinzani mkali kwenye ubunge. tofauti na DJ alivyo ambapo maslahi kwanza ni yeye. So dola ikiingilia kati Lisumbufu hatoboi.
 
Changine kitakachomfanya Issu ashindwe ni ile kujifanya mtu wa utaratibu sana na sheria. Mwenzake ni mtu wa janjajanja nyingi. Ana uwezo wa kupindisha mambo mengi ya kiuchaguzi (amekuwa hapo 25 yrs so amejijengea himaya) Ndo mana Lissu amesema " kama taratibu zikifuatwa" anamjua Mwenyekiti wake
 
Ropo amshimde kamanda wa anga....

Wakati kamanda wa anga mwaka 2005 anapepea na private helcopta jamaa yenu alikiwa shule - kuwa na adabu kidogo bwa mdogo.
 
Inafanana na ukweli
 
Sawa sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…