Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Nimefikiri na kujiuliza sana kwa nini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lisu , je huyu Lisu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuwalisia Lisu kamwe hawezi na wala asiote kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania.
If is diminishing Kwa nini mnatumia polisi kuzuia mapokezi ya Lissu??? Mnaogopa nini Lissu kupokelewa na watanzania wenzake???Mnazidi kupata public support? Your public support is diminishing, ni manyumbu na malofa tu ndio hamuwezi gundua hilo
Amewaahidi utawala bora na ataheshimu haki za binadamu!
Pia wamempima wakajiridhisha pasina shaka jamaa ana akili sana (generous), anaweza kuwa kiongozi bora kwa bara la Afrika.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Hawa jamaa wanafanya uonevu na upumbavu wa wazi kabisa alafu hawataki mtu ajitetee au atetewe. CCM ni mashetani sijawai kuonaNaomba nirudie sentensi yako kwa sauti kwa wasiosikia.
Amewaahidi utawala bora na ataheshimu haki za binadamu!
Pia wamempima wakajiridhisha pasina shaka jamaa ana akili sana (generous), anaweza kuwa kiongozi bora kwa bara la Afrika.
Imeisha hiyo.
Endelea kuonesha ujinga wako! Eti the country is mourning??? Mbona hamjasimamisha michezo??? Mbona hamjazuia matamasha wala kufunga bar???Kudharaulika na nyumbu? Afu mnanichekeshaga mnavyojiitaga akili kubwa, sio mbaya kujipea moyo lkn.
The country is mourning, na maandamano bila kibali hayaruhusiwi, hata kibali hamjaomba.
Afu huyo lisu anapaswa kufikishwa rumande akitua tu.
Hizo risasi 16 ndiyo ahadi yenyeweNimefikiri na kujiuliza sana kwa nini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lisu , je huyu Lisu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuwalisia Lisu kamwe hawezi na wala asiote kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania.
Ulichokiandika hiki kinatosha kabisa kuonesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!Pia wamempima wakajiridhisha pasina shaka jamaa ana akili sana (generous), anaweza kuwa kiongozi bora kwa bara la Afrika.
Huna aibu wala soni hata kdg, huenda ni upungufu wa akili! Alichofanyiwa kupigwa risasi 16 mwilini uliona sawa? Angekuwa ndugu yako ungeandika huu uharo? Uwe unatumia japo akili ndogo uliyo nayo kufikiri.Nimefikiri na kujiuliza sana kwa nini baadhi ya marafiki wa kizungu wanaonekana waziwazi kumtetea sana Lisu , je huyu Lisu amewaahidi kitu gani atakachowapa kutoka nchini kwetu ikiwa atachaguliwa na Watanzania katika uchaguzi wa mwaka huu kuwa Rais wa Tanzania, japo kiuwalisia Lisu kamwe hawezi na wala asiote kuwa atakuja kuwa Rais wa Tanzania.