Ulisoma vizuri soma la uraia kidato cha kwanza na cha pili? Kuna mada ya Demokrasia na Haki za binadamu na mipaka yake! Haki za binadamu zinazobinywa ni zile ambazo kwa pamoja kama Watanzania tulikubaliana kwenye katiba yetu ya mwaka 1977.
Pia kuna mada ya immoral behaviour, hizo tabia za ushoga na madawa ya kulevya yamo ndani humu na sisi kama jamii tunayapinga!
Tunachopinga kwenye nchi kwa sasa mwenye akili amekuwa mmoja tu, na tumbo lililozaa mtoto bora ni la mama yake tu! Yeye ndo mwema kuliko wote, yeye ndo mwenye busara na hekima kuliko wote!
Apambane na madawa ya kulevya na ushoga lakini aache vyama mbadala navyo vifanye siasa kama ccm. Dk. Hussein Mwinyi amesindikizwa Dodoma akapokelewa Zanzibar, akaenda Pemba lakini hakuna aliyemghasi. Leo anatua kipenzi cha Watanzania Tundu Lissu, vyombo vya dola matamko yamekuwa yatamko kwelikweli.
Sent from my VFD 301 using
JamiiForums mobile app