Uchaguzi 2020 Lissu amewaahidi nini wazungu endapo akiwa Rais, mbona wanamtetea sana?


Hapo kwenye nyekundu inaonesha kwa jinsi gani uchaguzu uchakachuliwa, na ndio maana ile kipengele ya matokeo ya Urais hayapingwi kwenye mahakama yeyote kinang'ang'aniwa.
 
Lissu ndiyo hivyo kama ulivyo sikia kuwa sasa hivi kashatua pale Adis Ababa Ethiopia anasubiri kuunganisha kuingia Tanzania [emoji1241].

Kwenu nyie wote mlio mtenda maovu mjiandae kabisa kuumbuliwa na dunia itawashuhudia
Mchezo wenu tulishaufahamu.... Mnataka kutuuza kama Libya... Mvune mali za watanzania kwa damu... Kamwe hatutetereki... Kiboko yenu Magufuli bado yuko imara sana.... Tutailinda nchi hii sana
 
Ulichokiandika hiki kinatosha kabisa kuonesha jinsi ulivyo mweupe kichwani!

Bara la Africa sio koloni la mabepari!!
Wakiwasaidia fedha za miradi mnawaita wadau wa maendeleo!

Wakijenga viwanda wanaitwa Wawekezaji.

Tatizo wakimuunga mkono Lissu kupigania stahiki zake na kulaani alichofanyiwa wanageuka kuwa Mabeberu.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hao wazungu wameanza kumtetea leo tukielekea kwenye uchaguzi? Umesahau maandiko mengi waliyotoa huko tangu alipokoswa kuuwawa? Tundu alitangaza kugombea urais then? Baki na akili zako zote, usiziache kwa jirani. Pia usishabikie na kuonesha kufurahia maumivu ya mwingine.
 
1. Hawezi kua Rais

2. Atakuwa ameahidi kuwapa madini na aridhi

3. Atakuwa amekubali ndoa za jinsia moja

N.B- Ni mhaini wa nchi yetu apuuzwe

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Unakosea na hujui Mungu anavyofanya kazi nyie subirini tu mtaona mambo.
 

Acha kujidanganya kuwa wazungu wanataka kitu flan tz ambacho wanashindwa kukipata

Hao Hao wazungu mashirika Yao ndio yanasaidia Sana tz
 
Niliishia la saba kamanda! kabla JPM hajaingia kutoa ELIMU BURE.
Kwa hiyo hata tukimchagua Tundu Lissu bado kutakuwa na mipaka ya Demokrasia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…