Haa Atakuwa Anapiga Na Kitu Cha Arusha, Lazima Hatumii MakushabuNadhani Konyagi Mwitu 😄
Golden chance kwa ccm na samia , uchaguzi utasogezwa mbele hadi 2030 kupisha maandalizi ya katiba mpya au sheria mpya za uchaguzi .
Natumaini hajawaza vizuri, au hajashirikisha vizuri kama hili ni azimio lake.
My lord Tanganyika yetu !
Tutavuka kweli?
Muda haupo,mwaka juzi na Jana kulitolewa mida wa kufanya marekebisho na Vyama vitoe mapendelezo Chadema walodharau.
Wengine walitoa na ndio maana inaitwa Tume huru ya Uchaguzi Kwa Sasa na hakuna kupita bila kupingwa.
Maoni ya Katiba ya Chadema hakuna wa kuchukua ila maoni ya Katiba ya Wananchi...Wadau wengi, ikiwemo Chadema, walitoa mapendekezo kwa Kamati ya Bunge , lakini mwisho wa siku maoni hayo yalidharauliwa.
..Kamati ya Bunge ilitupilia mbali mpaka maoni ya viongozi wa Dini waliopendekeza watumishi wa serikali wasiwe wasimamizi wa uchaguzi, bali Tume iwe na watumishi wake yenyewe.
..Serikali ilitoa ahadi kwamba inao uwezo wa kuwasimamia na kuwadhibiti watumishi wake wasiharibu uchaguzi lakini jambo hilo limedhihirika kwamba haliwezekani kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa.
..Serikali pia imekiuka sheria ya bunge inayoelekeza chaguzi zote kusimamiwa na Tume ya uchaguzi kwa kulazimisha uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na Ofisi ya Raisi Tamisemi.
..Mapendekezo ya Tundu Lissu yana mantiki na nia nzuri kama tutazingatia hali halisi, na maslahi ya taifa.
Maoni ya Katiba ya Chadema hakuna wa kuchukua ila maoni ya Katiba ya Wananchi.
Ccm hawatakibali, kama fomu ya kugombea kachukua kupitia mlango wa nyuma hawawezi kuvumilia mpaka mwaka huo, na sioni kitu chochote Cha kusabanisha uchaguzi uchelewe mpaka mwakani upande wa tume huruKwa hivyo twende na Samia hadi 2030 kwa mfano ikisha agombee kipindi chake cha pili?
Hata walioko Huwa wanaapa so hakuna Kisingizio ...Watanzania tuko milioni 60+ hivyo maoni yetu yatatoka kwa wawakilishi mbalimbali.
..Moja ya wawakilishi wa wananchi ambao maoni yao yalipuuzwa na Kamati ya Bunge ni VIONGOZI WA DINI.
..Viongozi wa Dini walipendekeza Tume Huru iwe na watumishi wake yenyewe, na isiwachukue wakurugenzi wa serikali kusimamia uchaguzi. Maoni hayo yalikataliwa na kamati ya Bunge.
..Tutangulize maslahi ya nchi mbele ktk suala hili.
..CCM bado ni chama kikubwa sana kulinganisha na vyama vya upinzani kwa hiyo hampaswi kuogopa Tume Huru ya uchaguzi.
Kwani kichaa kapewa rungu,ana machungu,na ni offside yangu,simwamini mtu zaidi ya Mungu na babaangu-sugu(2 proud),ndani ya bongoKUMEKUCHA KICHAA KAPEWA RUNGU.
Maandamano haya nitakuwepo🙏Acha wazalendo wa kweli wenye akili kubwa waongoze mabadiliko ya kweli Tanzania.
Hata siku moja, mabadiliko ya kweli huwa hayaletwi na watu wajinga wajinga, punguani na wanafiki, kama ninyi.
Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
Huyu jamaa ni kiande kweli kweli.
Yani yeye azuie uchaguzi kama nani kwenye hii nchi?
Eti tutaaandamana. Ataandamana na nani?
Yani mtanzania wa kuandamana ili kuzuia uchaguzi yupo wapi?
Huyu anachojua ni kuropoka tu hiko chama sio size yake hajui uongozi.
Wewe kama hutaki uchaguzi sisi tunautaka, na ACT pamoja na CCM watu wameshatangaza nia na wagombea.
Asiyetaka uchaguzi aende akapigwe pipe Ubeligiji. Hakuna mtu atazuia uchaguzi nchi hii hizo ni ndoto za mtu mwenye mwezi mchanga.
Yani unafikiri kwa kuwa umefanikiwa kumchafua Mbowe aliyekulea na kuokoa maisha yako ndio utazuia na uchaguzi wewe punguani?
Mpumbavu!
Umeandika ujinga tupu.Lisu airudishe familia yake Tanzania ili tuungane nayo kupigania mabadiliko kwa maandamano, vinginevyo kelele zitakuwa hazina maana kwa Watanzania.
Tukishauana wanasiasa wanakaa chini na kugawana vyeo(nusu mkate) wanufaika kwanza ni hizo familia zao zilizoko Uberigiji, Marekani na Kanada. Wawarudishe nyumbani tuje kuvunja miguu wote.
Aandamane yeye na genge lake.Tundu Lissu amesema "Sheria zetu za Uchaguzi ni mbovu, haziwezi kurekebishika zinahitaji kuandikwa upya na , tutazuia Uchaguzi kwa maandamano"
Soma, Pia: Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa