ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya Mbeya.
Kutokana na umoja wa wamasai walionao , nadiriki Kusema nimetembelea Vijiji vingi na Kata za wamasai, hakika nimesoma mioyo yao , na wao kiuhalisia kura zao zote zitaenda Kwa mtetezi wao.
Jamii ya Wamasai ni jamii ya Pili Kwa wingi wa watu Tanzania baada ya Jamii ya Wasukuma. Hivyo , Kulingana na idadi yao na mavurugu yaliyopo hapa nchini kati ya Serikali iliyopo madarakani na Wamasai basi uchaguzi wa 2025 utakuwa ni wa kuvutia sana hasa upande wa Uraisi
**** kampeni inaendelea Boma Kwa boma katika jamii ya kimasai kuhakikisha Kila Kijana aliyevuka miaka 18 anajiandikisha katika daftari la kupiga kura , na ahakikishe anashiriki uchaguzi ipasavyo, hii ni agenda waliojiwekea wenzetu, ambao wao ni moja ya makabila makubwa sana ndani ya nchi hii
Soma Pia: