Lissu anaogopa kukosolewa?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Naona tangu achaguliwe mwenyekiti wa CHADEMA mitandao ya kijamii anaigopa hata kuitumia.

Kabla ya uchaguzi alikuwa akitwiti kila siku lkn hivi sasa mtandao wake wa X ambao ulikuwa active hivi hapost tena.

Nimegundua anaogopa negative comments kutoka CHADEMA na CCM ambazo zimekuwa nyingi. Mwenziwe lema inasemekana hupiga blocko tu.

Hii tofauti na Mbowe ambae alikua mstahamilivu sana ktk siasa.
 
Mboma TAL anakusumbua sana akili yako? Hafanyi vitu kwa matakwa ya watu. Anajua achofanya, tangu lini Lissu akaogopa mitandao? Hebu mpumzisheni Baba wa watu, ajenge Chama.
Chama akijenge au akibomoe?
 
Nikwambie hii kanuni, ukimchukia mtu huwa anafanya vizuri zaidi ya inavyotakiwa. Wewe tulia na wenzako, dawa itawaingia mtalala usingizi wa pono. Mtakosa cha kumkosoa. Time will tell.
Simchukii lissu. Lissu rafiki yangu, kilinichokera njia alioingilia kupata uongozi
 
Atapost pale inapohitajika we unataka apost memes au kulana kimasihara?
 
Huyu Mbowe anakutafuna bila shaka yoyote zile hela za Abdul ndiyo zimekuponza hadi umeliwa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…