Lakini si mwenyewe umeeleza hapo juu jinsi Tundu Lissu mwenyewe anavyo fanya maigizo, sasa kumbe imekuwa ni wafuasi wake ndio waigizaji?Kwa akili ndogo sana tu, hivi kesi ya Lissu, dunia nzima inajua, iko live kwenye mitandao mbali mbali, narudia nani adhubutu kumpa sumu ili afe? Hivi issue kubwa kama hii, alafu apewe sumu? Huu ni uongo mkubwa na wa wazi kuichafua Serikali ya CCM, na hata wafuasi na wana chama wa Chadema wanajua hilo haliwezekani, sababu kuu Lissu yupo chini ya Magereza na Magereza ipo chini ya Serikali ya CCM, sasa kwa lipi hasa serikali ijichafue kwa kiwango kikubwa hivyo eti kumuwekea sumu Lissu?
Na uzuri, Serikali imekanusha hizo habari, na kukataa, kuwa hakuna kitu kama hicho, nachosema hapa, hii ni mbinu ya CHADEMA kuichafua Serikali kwa nia ovu tu, basi kutafuta attention tu ya public
Nawe mwendee bila kuwategemea polisi. Hapo tutamwona ni nani mwamba kati yenu.Tumia Id yako original basi
Wewe unajibaragaza hapo kwa kujua polisi wanawafanyia kazi; vinginevyo hata chumbani kwako usingekuwa unatoka nje.Kwani kafa? Mbona mnapaniki hivyo na mambo ndio yanaanza? Yakifika katikati je?
Sasa tuwaomba Polisi wakae pembeni halafu tukutane. Unasemaje hapo?Wewe unajibaragaza hapo kwa kujua polisi wanawafanyia kazi; vinginevyo hata chumbani kwako usingekuwa unatoka nje.
Hilo litakuwa jambo jema sana.Sasa tuwaomba Polisi wakae pembeni halafu tukutane. Unasemaje hapo?
Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.