Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Haya maajabu au dharau kwa watanzania?
Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima ya Tanzania.
Tutafakari!
Demokrasia iwe kwa vitendo siyo kwa maneno matupu ya majukwaani au mitandaoni.