Kwakweli hata mm nimeshangaa sana yaani inakuwaje watu wazima na akili zao wanatoa hoja za kitoto kiasi hicho? Kama hawana hoja za kupambana na lissu nibora wakae kimya kuficha madhaifu yao. Haingii akilini mtu waliotembea nchi nzima wakimnadi ili awe raisi wa nchi eti leo watuambie hawezi kuendesha chama. What the pathetic