Kama Lissu ni dikteta basi bora udikteta wake utasidia kuwabaini mbwamwitu waliojivika ngozi ya kondoo kundini!Usimtetee ,Udiktena unaanza tokea ukizaliwa na viashiria vyote alikuwa navyo ,wewe humjui ,Lisu akicheka analia kama komba ,na waogope watu wanaocheka kihivyo tabia zao ni amri amri amri .
Msikilize Lisu akicheka na pia msikilize Magufuli .ameisha kufa ila tafuta kideo anayocheka hawana tofauti.
Usisahau pia kua alipigwa risasi 16 na akasurvive, usifikiri Mungu alitaka aendelee kuishi bure bure tu, ana mpango wa kumtumia kuwakomboa watanzania kutoka kwa mkoloni Mweusi, Usisahau pia Musa alitaka kuuwawa na Wamisri akakimbia, lakini baadae huyo huyo Musa ndo aliwakomboa Waisrael kutoka kwa hao Wamisri. Mandela alifungwa 27yrs na makaburu, lakini huyo huyo ndo aliwakomboa wasauz na kuwapa uhuru kutoka kwa hao makaburu. Always remember that JohCHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake?
Mimi nawaambia Lissu ni mtu mwenye dharau ya juu sana, ile sura yake ukimuangalia kwa makini utaiona dharau yake hata akizungumza kwenye mikutano kama unajua kusoma au una elimu ya kujua muonekano na hawa kina Hechi na Lama na wengine nina uhakika hawana mwisho mzuri chini ya Tundu Lissu
Aina hii ya Lissu haina tofauti na ile ya Magufuli na tumeona siku chache tu kuiteka Chadema watu kibao wamekihama Chama na bado makundi ya raia wa Kawaida sasa huyu kama angekuwa Rais au ikifikia akawa Rais Tanzania patakalika au patachimbika ,ee maana Magu alikuwa ni mwendo kasi.
Mwenyezi Mungu ametuepusha na mengi hatujui tu, ila Mh Lissu hana sura ya kuwa Rais mzuri.
Msenge wewe.CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake?
Mimi nawaambia Lissu ni mtu mwenye dharau ya juu sana, ile sura yake ukimuangalia kwa makini utaiona dharau yake hata akizungumza kwenye mikutano kama unajua kusoma au una elimu ya kujua muonekano na hawa kina Hechi na Lama na wengine nina uhakika hawana mwisho mzuri chini ya Tundu Lissu
Aina hii ya Lissu haina tofauti na ile ya Magufuli na tumeona siku chache tu kuiteka Chadema watu kibao wamekihama Chama na bado makundi ya raia wa Kawaida sasa huyu kama angekuwa Rais au ikifikia akawa Rais Tanzania patakalika au patachimbika ,ee maana Magu alikuwa ni mwendo kasi.
Mwenyezi Mungu ametuepusha na mengi hatujui tu, ila Mh Lissu hana sura ya kuwa Rais mzuri.
Deodatus Balile alivyodharauliwa na Lissu siamini kama ana hamu tena naye. Na ndio maana alipotoka kwa Lissu tu akaenda kumkaribisha Balozi Dk. Nchimbi kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano Mkuu wa TEF badala ya Lissu.CHADEMA mbinu za kuwaleta au kuwatumia makasisi na maustaaz baada ya kuzimwa wamejaribu kumreta Kirua, hivi hawa waliopo Tanzania akina hawatoshi kumtetea mkubwa wa kudharau wenzake?