Ndugu Wana JF,
SUB: LISSU AOMBA HIFADHI YA UKIMBIZI WA KISIASA NCHI TATU
Nimepata hizi habari ambazo nimeziita TETESI, kwa sababu hakuna Actual Facts, ama Ushahidi ambao unaweza kuugusa, lakini una viashira vinge vya ukweli.
Kupitia wahusika wakuaminika sana, nimepata taarifa isemayo kuwa Ndugu TUNDU LISSU, ametayarishiwa mazingara mazuri sana ya kuweza kupewa UHAMIAJI/UKIMBIZI WA KISIASA kati ya chi Tatu ( UJERUMANI, SWEDEN NA CANADA ).
Inasemekana ya kuwa Ndugu Lissu amesha peleka maombi yake ya Ukimbizi wa Kisiasa, likihusiana na tatizo la hatari kwa maisha yake , iwapo atarudi Tanzania. Pia inasemekana Wenyeviti wa Vyama vya Chadema na ACT, wameziandikia barua za Recommendation hizo Balozi za GERMAN, SWEDEN & CANADA, kuwasisitiza wayakubali maombi ya Ndugu Lissu, kwani kuna tishio kw aMaisha yake arudipo nchini