Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Tundu lissu atakuwa ni mtu wa kushangaza..kwa nini asirudi amuombe msamaha rais John pombe Magufuli halafu ajiunge na Chama Cha Mapinduzi halafu alee familia yake kwa raha na mustarehe.
Hii nchi ina vichaa kweli kweli tumevamia siasa hadi tumekuwa vipofu wabunge 17 wa ccm waligoma kupitisha bajet kisa pesa za mkulima kukatwa na serikali magufuli alisema angepiga shangazi wa wazir mkuu na kufukuza wabunge wa ccm 17 kwa hali hii nani traitor?Aennde tu we do not need traitors in our country
Tundu lissu atakuwa ni mtu wa kushangaza..kwa nini asirudi amuombe msamaha rais John pombe Magufuli halafu ajiunge na Chama Cha Mapinduzi halafu alee familia yake kwa raha na mustarehe.
Mkuu Echolima hii ndiyo Tanzania mpya, tena hapa bado kabisaaa.Ni Ujinga na Upumbavu wa ccm kila kukicha wanapata kiwewe juu ya Tundu Lissu mpaka wamegeuka kuwa waganga wa kienyeji kila siku kubashiri kuhusu Lissu au Mbowe na Chadema kwa ujumla mtoa mada huo ni Ujinga kuwaaminisha uongo Misukule wenzie wa ccm!!!
Mkuu Mkirindi, this is bad news, kwa sababu sisi wengine tunamhesabu Lissu as the one and only, anayeweza kumkabili Magufuli ,2020,Ndugu Wana JF,
SUB: LISSU AOMBA HIFADHI YA UKIMBIZI WA KISIASA NCHI TATU
Nimepata hizi habari ambazo nimeziita TETESI, kwa sababu hakuna Actual Facts, ama Ushahidi ambao unaweza kuugusa, lakini una viashira vinge vya ukweli.
Kupitia wahusika wakuaminika sana, nimepata taarifa isemayo kuwa Ndugu TUNDU LISSU, ametayarishiwa mazingara mazuri sana ya kuweza kupewa UHAMIAJI/UKIMBIZI WA KISIASA kati ya chi Tatu ( UJERUMANI, SWEDEN NA CANADA ).
Inasemekana ya kuwa Ndugu Lissu amesha peleka maombi yake ya Ukimbizi wa Kisiasa, likihusiana na tatizo la hatari kwa maisha yake , iwapo atarudi Tanzania. Pia inasemekana Wenyeviti wa Vyama vya Chadema na ACT, wameziandikia barua za Recommendation hizo Balozi za GERMAN, SWEDEN & CANAD, kuwasisitiza wayakubali maombi ya Ndugu Lissu, kwani kuna tishio kw aMaisha yake arudipo nchini
Atarudi. .....alisema hawezi kuwa mkimbizi wa Kisiasa mwaka uleeeeeeee wa mafuriko...Mkuu Mkirindi, this is bad news, kwa sababu sisi wengine tunamhesabu Lissu as the one and only, anayeweza kumkabili Magufuli ,2020,
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli! - JamiiForums
ila kwa kauli zake za hivi karibuni kuhusu waliomshambulia, zinaashiria, ameishakubaliwa.
Hivyo kwa maoni yangu, kama sio Lissu vs Magufuli 2020, then wapinzani, wasipote muda kusimamisha mgombea, mwacheni rais Magufuli apite tuu bila kupingwa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020? - JamiiForums
P.
Pole sana! Ataandika atachoka atajiona hana analopataLissu akiwa nje ya nchi ni hatari kama Imamu Khomein alipokuwa nje ya nchi!.
Kama ilivyokuwa kalamu kali ya Khomein dhidi ya mfalme wa Irani ( Shah) , Lissu pia amebarikiwa kalamu kali mno, ulimi wa moto, akili ya kipanga na moyo wa Simba!
Kumbuka Imamu Khomein alipotoka Ufaransa ukimbizini alikuta umati unamsubiri pale airport, Tehran nzima imezizima, akajichukulia nchi kiulaini!!
Kama ka binti Kadogo kama Mange kametikisa nchi kwa kutumia Smartphone kakiwa nje ya nchi, je itakuwaje kwa Lissu mtu mwenye Ubongo mkubwa kama Mlima Everest akiwa nje ya nchi?.
Watu aina ya Lissu wana ushawishi wa kuendesha movement na kutengeneza coalition pana. Ni hatari sana
Bora wambembeleze tu arudi, wamlipe fidia na wamuhakikishie ulinzi wake!
Ndugu Wana JF,
SUB: LISSU AOMBA HIFADHI YA UKIMBIZI WA KISIASA NCHI TATU
Nimepata hizi habari ambazo nimeziita TETESI, kwa sababu hakuna Actual Facts, ama Ushahidi ambao unaweza kuugusa, lakini una viashira vinge vya ukweli.
Kupitia wahusika wakuaminika sana, nimepata taarifa isemayo kuwa Ndugu TUNDU LISSU, ametayarishiwa mazingara mazuri sana ya kuweza kupewa UHAMIAJI/UKIMBIZI WA KISIASA kati ya chi Tatu ( UJERUMANI, SWEDEN NA CANADA ).
Inasemekana ya kuwa Ndugu Lissu amesha peleka maombi yake ya Ukimbizi wa Kisiasa, likihusiana na tatizo la hatari kwa maisha yake , iwapo atarudi Tanzania. Pia inasemekana Wenyeviti wa Vyama vya Chadema na ACT, wameziandikia barua za Recommendation hizo Balozi za GERMAN, SWEDEN & CANADA, kuwasisitiza wayakubali maombi ya Ndugu Lissu, kwani kuna tishio kw aMaisha yake arudipo nchini