Pre GE2025 Lissu aombe radhi, asijitoe akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona Lissu alishanasa kwenye mqridhiano na akapewa na mafao yake hata kabla ya mwenyekiti?

Au zile perepete za stejini ndio zinakufanya uamini vinginevyo?
Sasa hii taarifa itanisaidia kitu gani hapa kujuwa unachotaka kueleza? Eleza ushahidi ulioshuhudia wewe akipewa hizo "peremende".

Mwambieni Samia aache kuharibu pesa za waarabu kuwahonga makanisa. Pesa hizo akitaka zisaidie, mpeni Lissu kumnyamazisha kama mnadhani atanyamaza.

Cha ajabu hapa huoni kuwa Lissu hahongeki, au huelewi?
 
mavi publication on JF
 
Eeh

You know more than I do - makanisa yanahongwa?

I test my case
 
Kwa mtamfukuza mzee Mbowe kwenye Chama?
 
CHADEMA endeleeni na usiri huo huo. Naona chawa wanahangaika.
 
Siku nyingi sana huwa nasema Tundu Lissu ana asilimia fulani ya utaahira. Ipo siku mtanielewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…