Uchaguzi 2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa


Ni hivi, baadhi ya watu hawa ambao wanatoa hela kwenye ATM halafu kuishukuru, siku za nyuma walikuwa wanaambiwa vitu kama hizo na hizo ATM: 1) The machine is out of order 2) There is no enough cash at the moment, please try again later etc, etc..

Sasa, wakiona machine imeanza kufanya kazi wakati wote, hawana budi..............

Cha pili, raia kutokujua haki zao pia sio kweli mmoja kwa mmoja.. mara nyingi wanaijua vizuri sana, ila kuna kitu nitakubaliana na wewe asilimia mia mmoja, ni hilo la kukosa UJASIRI.. na ujasiri mara nyingi hupotea pia kwa kukosa pesa mfukoni, hata kama ujasiri wa namna hii sio ujasiri halisia kabisa lakini ni ujasiri wa aina mmojawapo... uki connect dots, unaweza ukaelewa nadharia ninachotaka kuelezea..
 
Huyu jamaa nae anaongea mno. Kama kuna taratibu kazikiuka, ataondolewa na hatofanya chochote chenye impact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…