Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

JF imeharibika sana na hivi vitoto vya 2000 viganga njaa, moderators kuna haja ya kuboresha qualification za wachangiaji humu kwa kweli, ni aibu tupu kusoma nyuzi za miaka hii!
Endelea kukariri,enzi tukiwa na Kina Mzee Kichuguu,Mohamed Said na wengine tulifanya kazi iliyotukuka ,leo wewe unajiona unaipenda San a jf kuliko enzi zetu za jamboforum.

Jf ndio imefanya nifike nilipo
 
Kama akili zako ni 0,unadhani umakini utakuwa nao?
Nimeona umeandika kwamba wewe ni matako ndio maana nikakuuliza mkuu angalia uchoandika vizuri hakuna sehemu ulipoandika wewe ni matako?
 
Endelea kukariri,enzi tukiwa na Kina Mzee Kichuguu,Mohamed Said na wengine tulifanya kazi iliyotukuka ,leo wewe unajiona unaipenda San a jf kuliko enzi zetu za jamboforum.

Jf ndio imefanya nifike nilipo

Basi utakua mzee mpumbavu kama hujapata busara tangu Jamboforum, wanao unawafundisha nini sasa?
 
Joined: Yesterday at 1:03 PM

Matako kabisa unajiona umejiunga JF 2005 kabla haijaenda hewani kumbe umejiunga jana stupid
 
Basi utakua mzee mpumbavu kama hujapata busara tangu Jamboforum, wanao unawafundisha nini sasa?
Nawafundisha wasinywe visungura na nashukuru wamenielewa wameajiriwa sekta binafsi wanaishi maisha yao
 
Mimi simuungi mkono tundu lisdunlakini sitokubali apind
 
Kwanza kabisa thibitisha huyo Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…