Lissu apinduliwe, ndiyo njia ya kuiponya CHADEMA

Wewe ndiye umemtaja katika mada hii.

Kama mada hii si mada ya hayo mambo kwa nini umemtaja Mungu katika mada hii?

Kujamba unajamba wewe, mimi nikikuambia tu hapa umejamba, lawama unanipa mimi kwa kukuambia tu hapa umejamba?
Kiranga andaa uzi wa huu upumbavu wako halafu tujichomoe fuse tuje huko tuwekane sawa..

Ninachokiamini, tukikuwahisha C1 utapona haraka
 
"E="Ninaweza, post: 54463303, member: 33312"]
And not to be disregarded
[/QUOTE]"
Also must not be regarded,
 
Kwanini CCM hawampendi Lissu??
Lissu your Image is giving corrupt ruling Party sleepless nights,
Lissu Amebeba Maono,
 
Kiranga andaa uzi wa huu upumbavu wako halafu tujichomoe fuse tuje huko tuwekane sawa..

Ninachokiamini, tukikuwahisha C1 utapona haraka
Kwa nini niandae uzi mwingine wakati Mungu katajwa kwenye uzi huu?

Unaelewa hata unaposema nitapona haraka, maana yake naumwa, hata kama kweli naumwa kuumwa nako ni sehemu ya ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo?

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Wewe endelea na ujinga wako usije kuingilia mambo yasiyokuhusu
 
Katika maisha tuheshimu vya watu tusijifanye much know kuliko wengne..tuheshimu uzi wa mwingine..
Kama huwezi, tuishie hapo..
Siku yoyote ukianzisha ni tag, iwe kwa kiingereza kiswahili we tag tu
 
Katika maisha tuheshimu vya watu tusijifanye much know kuliko wengne..tuheshimu uzi wa mwingine..
Kama huwezi, tuishie hapo..
Siku yoyote ukianzisha ni tag, iwe kwa kiingereza kiswahili we tag tu
Sawa kabisa,ukomavu muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…