Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Naunga mkono hoja ila pengine walimpa tuzo ili kumtongoza wafanikishe mambo waliyokuwa wameyapendekeza si unajua Mbowe ni born town kitambo anazijua vizuri akili za wanawake ila bahati mbaya mambo yakafeli.Kwa sababu huna akili ndiyo maana unaandika upuuzi huu. Hivi tuzo ilikua kwa ajili ya nini wakati watu wanauawa, watu wanatekwa na kupotezwa. Mbumbumbu labisa wewe huwezi kumwelewa Lissu. Tuzo ni maamuzi ya vikao vya kamati kuu. Kama kamati kuu haikukaa, Mbowe alikubaliana na nani na kutoa tuzo kwa ajili ya nini?
Wewe hujawahi kumpenda Lisu, humpendi na hautampenda. Vp alikuchukulia kitu chako?Bado unaamini huyu mtu anafaa kuwa mwenyekiti wa chama.
Predictable na wenzake wa clubhouse.
😂 😂 Mbowe SaccosMbowe tapeli sana!
Siku hiyo akajitutumua kutoa hotuba anamnanga Magagufuli eti "never and never again"
Kumbe lilikuwa linafurahia kupata uhuru wa kupiga mihela ya mama Abdul!
Pumbavu sana
Anafaa Sana, sio unafiki.Ni muwazi....mbowe kafanya mambo mengi Sana ya hovyoBado unaamini huyu mtu anafaa kuwa mwenyekiti wa chama.
Predictable na wenzake wa clubhouse.
nadhani kwasabb ya mdomo mambo mengi ya Chama Lisu hakua anafahamishwa 🐒Wadau hamjamboni nyote?
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kiswahili
Jambo TV
Akizungumza kupitia mtandao wa Clubhouse usiku huu, Lissu ameeleza kuwa Rais Samia alialikwa na Mbowe kushiriki katika mkutano wa Baraza la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA), na walijulishwa tu kuwa mwaliko huo umetoka kwa Mwenyekiti.
Ameongeza kwa kusema kuwa, walishangaa kuona tuzo ikitolewa kwa Rais Samia bila kujulishwa mapema, huku kamati kuu ya chama hiyo ikiwa haijakaa kujadili suala hilo.
"Yalikuwa ni maamuzi ya Mwenyekiti pekee yake kwa haya mambo mawili. Hakuna kikao kilikaa kamati kuu kumwalika Rais Samia au kumpa tuzo," alisema Lissu, akimtaka Mwenyekiti Mbowe kuhojiwa kwa nini alitoa tuzo hiyo na kumleta Samia, wakati chama cha CCM kilikuwa hakijakubali chochote kuhusu maridhiano kati ya pande hizo.
Lissu amekumbusha kwamba masharti ya mwanzo ya maridhiano kati ya CHADEMA na Serikali yalikuwa na vipengele maalum, na kwamba anajiuliza ikiwa hatua ya kutoa tuzo kwa Rais Samia ni matokeo ya maridhiano hayo.?
Tuzo hiyo, aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan, ilitolewa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) mnamo Machi 08, 2023, kwa kumpongeza kwa juhudi zake za kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini, huku akihusishwa na amani, upendo, na mshikamano.
Tuzo hiyo ilikabidhiwa kwa Rais Samia na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa niaba ya BAWACHA wakati wa Kongamano la Siku ya Wanawake lililofanyika mjini Moshi.
Usiri wa kijinga ndo umetufikisha hapa, unawekaje usiri katika mambo ya umma? Chadema wajitafakari watakimbiwa na umma watabaki na cheti tu Cha msajiriSijaona shida mpaka hapa mkuu,huyu ndie, kama tunaamini kuwa mwenyekiti lazima kuwa na usiri katika mambo ambayo hayaitji usiri ,tutakuwa niwajinga sana
Huo usiri ndo unaoimaliza chadema kwa Kasi, hwatakuwa tofauti na ccm katika Hilo..nadhani kwasabb ya mdomo mambo mengi ya Chama Lisu hakua anafahamishwa 🐒
Haahaa, Samia kamweza Sana mbowe, kapigwa maridhiano feki, kapora uchaguzi serikali za MITAA kapita hivi.Bado mwakani sasa😂Naunga mkono hoja ila pengine walimpa tuzo ili kumtongoza wafanikishe mambo waliyokuwa wameyapendekeza si unajua Mbowe ni born town kitambo anazijua vizuri akili za wanawake ila bahati mbaya mambo yakafeli.
AaarghAnafaa Sana, sio unafiki.Ni muwazi....mbowe kafanya mambo mengi Sana ya hovyo
Lissu anapingwa chadema kwa sera yake ya ukweli na uwazi, kitu ambacho chadema wanakihubiri lakini kwa ndani hawako hivoWatu hawapendi ukweli. wamezoea kufichwa fichwa mambo. so akitokea mtu akasema ukweli jinsi ulivyo wanachanganyikiwa. Lisu kaulizwa swali na yeye kajibu bila kuuma ila wengine ndio wanaumia. Mkiti ana madoa kwa kweli angekaa tu pembeni sema naona handlers wake wamemwambia kuwa lisu ni hatari kwetu akiwa ndio mkuu wa chadema so imebidi aendelee
AarghWewe hujawahi kumpenda Lisu, humpendi na hautampenda. Vp alikuchukulia kitu chako?
Ndo hivo, nchi hii inahitaji viongozi wa kweli na wawazi sio wanafiki na wajanja janja kama boni yai kumbe wapiga dealAaargh
No one has time to deal with your emotionals.Ndo hivo, nchi hii inahitaji viongozi wa kweli na wawazi sio wanafiki na wajanja janja kama boni yai kumbe wapiga deal
ni upumbavu wa kiwango cha juu sana mlimwalika wenyewe mkampa na tuzo mnachoma vitenge ili iweje? mnaonekana mburula tu..Bawacha wachoma moto vitenge walivyopewa na Mama Abduli.
View: https://www.youtube.com/watch?v=5CFB2ikL2Vc
Thanks , pumbavuEither unapotosha au hujui unachoongea.
Kwani ulitakaje?😂Hadi wewe unamuunga mkono mboe.
Hapa kuna jambo si kawaida