Pre GE2025 Lissu apinga tuzo aliyopewa Samia na kusema kuwa huo haukuwa uamuzi wa Chama bali maamuzi binafsi ya Mwenyekiti, ataka ahojiwe

Pre GE2025 Lissu apinga tuzo aliyopewa Samia na kusema kuwa huo haukuwa uamuzi wa Chama bali maamuzi binafsi ya Mwenyekiti, ataka ahojiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sababu huna akili ndiyo maana unaandika upuuzi huu. Hivi tuzo ilikua kwa ajili ya nini wakati watu wanauawa, watu wanatekwa na kupotezwa. Mbumbumbu labisa wewe huwezi kumwelewa Lissu. Tuzo ni maamuzi ya vikao vya kamati kuu. Kama kamati kuu haikukaa, Mbowe alikubaliana na nani na kutoa tuzo kwa ajili ya nini?
Naunga mkono hoja ila pengine walimpa tuzo ili kumtongoza wafanikishe mambo waliyokuwa wameyapendekeza si unajua Mbowe ni born town kitambo anazijua vizuri akili za wanawake ila bahati mbaya mambo yakafeli.
 
CCM Wanampigia chapuo FAM awe mwenyekiti.

..........Kitu nimejifunza hii nchi kila mwanasiasa ni CCM damudamu.
 
Mbowe tapeli sana!

Siku hiyo akajitutumua kutoa hotuba anamnanga Magagufuli eti "never and never again"

Kumbe lilikuwa linafurahia kupata uhuru wa kupiga mihela ya mama Abdul!

Pumbavu sana
😂 😂 Mbowe Saccos
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kiswahili

Jambo TV


Akizungumza kupitia mtandao wa Clubhouse usiku huu, Lissu ameeleza kuwa Rais Samia alialikwa na Mbowe kushiriki katika mkutano wa Baraza la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA), na walijulishwa tu kuwa mwaliko huo umetoka kwa Mwenyekiti.


Ameongeza kwa kusema kuwa, walishangaa kuona tuzo ikitolewa kwa Rais Samia bila kujulishwa mapema, huku kamati kuu ya chama hiyo ikiwa haijakaa kujadili suala hilo.


"Yalikuwa ni maamuzi ya Mwenyekiti pekee yake kwa haya mambo mawili. Hakuna kikao kilikaa kamati kuu kumwalika Rais Samia au kumpa tuzo," alisema Lissu, akimtaka Mwenyekiti Mbowe kuhojiwa kwa nini alitoa tuzo hiyo na kumleta Samia, wakati chama cha CCM kilikuwa hakijakubali chochote kuhusu maridhiano kati ya pande hizo.


Lissu amekumbusha kwamba masharti ya mwanzo ya maridhiano kati ya CHADEMA na Serikali yalikuwa na vipengele maalum, na kwamba anajiuliza ikiwa hatua ya kutoa tuzo kwa Rais Samia ni matokeo ya maridhiano hayo.?


Tuzo hiyo, aliyopewa Rais Samia Suluhu Hassan, ilitolewa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) mnamo Machi 08, 2023, kwa kumpongeza kwa juhudi zake za kuboresha na kuimarisha demokrasia nchini, huku akihusishwa na amani, upendo, na mshikamano.


Tuzo hiyo ilikabidhiwa kwa Rais Samia na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa niaba ya BAWACHA wakati wa Kongamano la Siku ya Wanawake lililofanyika mjini Moshi.
nadhani kwasabb ya mdomo mambo mengi ya Chama Lisu hakua anafahamishwa 🐒
 
Sijaona shida mpaka hapa mkuu,huyu ndie, kama tunaamini kuwa mwenyekiti lazima kuwa na usiri katika mambo ambayo hayaitji usiri ,tutakuwa niwajinga sana
Usiri wa kijinga ndo umetufikisha hapa, unawekaje usiri katika mambo ya umma? Chadema wajitafakari watakimbiwa na umma watabaki na cheti tu Cha msajiri
 
Watu hawapendi ukweli. wamezoea kufichwa fichwa mambo. so akitokea mtu akasema ukweli jinsi ulivyo wanachanganyikiwa. Lisu kaulizwa swali na yeye kajibu bila kuuma ila wengine ndio wanaumia. Mkiti ana madoa kwa kweli angekaa tu pembeni sema naona handlers wake wamemwambia kuwa lisu ni hatari kwetu akiwa ndio mkuu wa chadema so imebidi aendelee
 
Naunga mkono hoja ila pengine walimpa tuzo ili kumtongoza wafanikishe mambo waliyokuwa wameyapendekeza si unajua Mbowe ni born town kitambo anazijua vizuri akili za wanawake ila bahati mbaya mambo yakafeli.
Haahaa, Samia kamweza Sana mbowe, kapigwa maridhiano feki, kapora uchaguzi serikali za MITAA kapita hivi.Bado mwakani sasa😂
 
Watu hawapendi ukweli. wamezoea kufichwa fichwa mambo. so akitokea mtu akasema ukweli jinsi ulivyo wanachanganyikiwa. Lisu kaulizwa swali na yeye kajibu bila kuuma ila wengine ndio wanaumia. Mkiti ana madoa kwa kweli angekaa tu pembeni sema naona handlers wake wamemwambia kuwa lisu ni hatari kwetu akiwa ndio mkuu wa chadema so imebidi aendelee
Lissu anapingwa chadema kwa sera yake ya ukweli na uwazi, kitu ambacho chadema wanakihubiri lakini kwa ndani hawako hivo
 
Ndo hivo, nchi hii inahitaji viongozi wa kweli na wawazi sio wanafiki na wajanja janja kama boni yai kumbe wapiga deal
No one has time to deal with your emotionals.

Mbowe anapwaya, ni muda wa mtu mwingine: Lakini sio Lissu.
 
tuzo za mchongo huku uhalisia ukiwaumbua,ni aibu kubwa kwa mtu anayejiita msomi kuwa mbwa wa mtawala kisa umaskini.
 
Nawakumbusha tu mkumbusheni nae pia bila Mwamba saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
N a kama hujui maana yake nenda ka google.
Kwa hiyo awe na heshima kwa Mwamba
 
Back
Top Bottom