Kuna wakati huwa unakuwa chizi kwelikweli!View attachment 3183698
Tuko hapo na festival seasonal ‘Memphis and Clippers’.
Hayo mambo yenu ni past-time tu.
Kwa nini umwite "mfa maji"?Walau nimesikia alichoongea.
Lissu kwa sasa ni ‘now or never’ ni mfa maji.
Lakini ana hoja it must be said.
Wewe unafaa kitu gani, maana hata kueleza jambo ukaeleweka huwezi!Hafai kuwa kiongozi wa juu huyu banamdogo ana nongwa
Mkuu kama unachunguza ndiye mtu pekee mwenye ujasiri na kumface Mbowe the way it is.Bado unaamini huyu mtu anafaa kuwa mwenyekiti wa chama.
Predictable na wenzake wa clubhouse.
Lisu Anaaga siasa kwa kutupatupa mateke hewaniWalau nimesikia alichoongea.
Lissu kwa sasa ni ‘now or never’ ni mfa maji.
Lakini ana hoja it must be said.