Kuna wakati huwa unakuwa chizi kwelikweli!View attachment 3183698
Tuko hapo na festival seasonal ‘Memphis and Clippers’.
Hayo mambo yenu ni past-time tu.
Sisi yatatusaidia kitu gani hayo unayo yafanya wewe huko. Umeambiwa lini kuwa jukwaa hili ndipo mahali sahihi pa kuleta takataka zako?
Wakati mwingine unakuwa mtu kama uliye rukwa na akili kichwani. Huko 'upstairs' kwako bila shaka kuna natiu zimelegea!