Pre GE2025 Lissu asema hakuna mpasuko ndani ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.

Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Watu wanapimwa kwa matendo yao na sio ahadi zao. Lissu kusema hadharani kuwa Aida hachangia lolote ni ishara ya pettiness ambayo wengine tumekuwa tukiilalamikia. Aida pamoja na kuwa mwanzoni Chadema walimpa bega la baridi lakini hajatetereka kuwatetea watanzania, watu wa Nkasi Mashariki na chama chake. Alisimama mara nyingi kulaani matendo yanayofanyiwa viongozi ( akiwemo Mbowe) na wanachama wa chama chake.

Ninachohisi ni kuwa Lissu hamjasamehe alivyosimamia uchaguzi wa uongozi wa Bawacha ambapo aliyekuwa chaguo la Lissu alishindwa na hivyo kumlazimisha kumkubali kiongozi aliyesema wazi kuwa alikuwa Team Mbowe. Hii ni vindictiveness ya hali ya juu na haionyeshi nia ya kuponya majeraha. Aida ni mpambanaji kama alivyo Rose Mayemba. Anatakiwa apewe moyo badala ya kubezwa hasa ukizingatia jinsi Lijualikali alivyo mkalia kooni. Lissu anatakiwa ajirekebishe na achunge kauli zake kama kweli ana nia ya dhati ya kuponya vidonda vilivyotokana na uchaguzi.

Amandla....
 
Nyie ni mapandikizi ambao mlishindwa kazi yenu kwenye uchaguzi mkategemea Lissu awafukuze baada ya kushinda ili mchochee moto wa kugawanyika ila Lissu kawanyima hoja saivi mnaokoteza vihoja ku justify mission zenu kwa CCM waliowapa hela muivuruge CHADEMA.

Watanzania tunawaona na tunawajua. Hamtushangazi.
 
Kwa hiyo ulitegemea kila mmoja awe vuvuzela? Leo mnajivunia uchaguzi ambao mlifanya kila jitihada kuugeuza uwe coronation!

Hamna mtu anaweza kuivuriga Chadema isipokuwa Chadema wenyewe. Kukataa kukosolewa ni dalili kuwa mnataka muwe kama hao ambao mnataka kuchukua nafasi yao.

Lissu ni binadamu, sio Mungu. Akikosea, atakosolewa kama binadamu yeyoye. Ukiona hatumtendei haki mtete kwa hoja na sio vitisho visivyo na mbele wala nyuma.

Amandla...
 
Nyie ni mapandikizi ambao mlishindwa kazi yenu kwenye uchaguzi mkategemea Lissu awafukuze baada ya kushinda ili mchochee moto wa kugawanyika ila Lissu kawanyima hoja saivi mnaokoteza vihoja ku justify mission zenu kwa CCM waliowapa hela muivuruge CHADEMA.

Watanzania tunawaona na tunawajua. Hamtushangazi.
We kichaa na hilo tumbo lako na mdomo kama mamba acha tabia Za kishoga na nasikia Robert Amsterdam kakuacha
 
Matusi yako yanaonesha kwa namna gani CCM mnavyoumiq kushindwa kuigawa CHADEMA pamoja na kuliwa pesa zenu nyingi sana.

Poleni sana.
 
Lissu anatakiwa ajirekebishe na achunge kauli zake kama kweli ana nia ya dhati ya kuponya vidonda vilivyotokana na uchaguzi.
Antipasu anafanya makosa yakawaida tofauti na mtangulizi wake kwenye nafasi ya Uwenyekiti. Kwa hiyo, mtulie naye hivyo hivyo na mjichanganye Tena mumpe kugombea Urais. Mtapotea Mazima!!!
 
Makosa ya kawaida ni yepi na yasio ya kawaida ni yepi?

Amandla...
 
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.

Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa
View attachment 3240503
Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikia
Mgawanyiko wala sio siri
 
Back
Top Bottom