the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Lissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.
Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa
View attachment 3240503
Watu wanapimwa kwa matendo yao na sio ahadi zao. Lissu kusema hadharani kuwa Aida hachangia lolote ni ishara ya pettiness ambayo wengine tumekuwa tukiilalamikia. Aida pamoja na kuwa mwanzoni Chadema walimpa bega la baridi lakini hajatetereka kuwatetea watanzania, watu wa Nkasi Mashariki na chama chake. Alisimama mara nyingi kulaani matendo yanayofanyiwa viongozi ( akiwemo Mbowe) na wanachama wa chama chake.
Nyie ni mapandikizi ambao mlishindwa kazi yenu kwenye uchaguzi mkategemea Lissu awafukuze baada ya kushinda ili mchochee moto wa kugawanyika ila Lissu kawanyima hoja saivi mnaokoteza vihoja ku justify mission zenu kwa CCM waliowapa hela muivuruge CHADEMA.Watu wanapimwa kwa matendo yao na sio ahadi zao. Lissu kusema hadharani kuwa Aida hachangia lolote ni ishara ya pettiness ambayo wengine tumekuwa tukiilalamikia. Aida pamoja na kuwa mwanzoni Chadema walimpa bega la baridi lakini hajatetereka kuwatetea watanzania, watu wa Nkasi Mashariki na chama chake. Alisimama mara nyingi kulaani matendo yanayofanyiwa viongozi ( akiwemo Mbowe) na wanachama wa chama chake.
Ninachohisi ni kuwa Lissu hamjasamehe alivyosimamia uchaguzi wa uongozi wa Bawacha ambapo aliyekuwa chaguo la Lissu alishindwa na hivyo kumlazimisha kumkubali kiongozi aliyesema wazi kuwa alikuwa Team Mbowe. Hii ni vindictiveness ya hali ya juu na haionyeshi nia ya kuponya majeraha. Aida ni mpambanaji kama alivyo Rose Mayemba. Anatakiwa apewe moyo badala ya kubezwa hasa ukizingatia jinsi Lijualikali alivyo mkalia kooni. Lissu anatakiwa ajirekebishe na achunge kauli zake kama kweli ana nia ya dhati ya kuponya vidonda vilivyotokana na uchaguzi.
Amandla....
Kwa hiyo ulitegemea kila mmoja awe vuvuzela? Leo mnajivunia uchaguzi ambao mlifanya kila jitihada kuugeuza uwe coronation!Nyie ni mapandikizi ambao mlishindwa kazi yenu kwenye uchaguzi mkategemea Lissu awafukuze baada ya kushinda ili mchochee moto wa kugawanyika ila Lissu kawanyima hoja saivi mnaokoteza vihoja ku justify mission zenu kwa CCM waliowapa hela muivuruge CHADEMA.
Watanzania tunawaona na tunawajua. Hamtushangazi.
We kichaa na hilo tumbo lako na mdomo kama mamba acha tabia Za kishoga na nasikia Robert Amsterdam kakuachaNyie ni mapandikizi ambao mlishindwa kazi yenu kwenye uchaguzi mkategemea Lissu awafukuze baada ya kushinda ili mchochee moto wa kugawanyika ila Lissu kawanyima hoja saivi mnaokoteza vihoja ku justify mission zenu kwa CCM waliowapa hela muivuruge CHADEMA.
Watanzania tunawaona na tunawajua. Hamtushangazi.
Matusi yako yanaonesha kwa namna gani CCM mnavyoumiq kushindwa kuigawa CHADEMA pamoja na kuliwa pesa zenu nyingi sana.We kichaa na hilo tumbo lako na mdomo kama mamba acha tabia Za kishoga na nasikia Robert Amsterdam kakuacha
CHADEMA ya Lissu haiendi popote na ushoga wakeMatusi yako yanaonesha kwa namna gani CCM mnavyoumiq kushindwa kuigawa CHADEMA pamoja na kuliwa pesa zenu nyingi sana.
Poleni sana.
Ushoga upi tena? Mbona kama umechanganyikiwa?CHADEMA ya Lissu haiendi popote na ushoga wake
Antipasu anafanya makosa yakawaida tofauti na mtangulizi wake kwenye nafasi ya Uwenyekiti. Kwa hiyo, mtulie naye hivyo hivyo na mjichanganye Tena mumpe kugombea Urais. Mtapotea Mazima!!!Lissu anatakiwa ajirekebishe na achunge kauli zake kama kweli ana nia ya dhati ya kuponya vidonda vilivyotokana na uchaguzi.
Makosa ya kawaida ni yepi na yasio ya kawaida ni yepi?Antipasu anafanya makosa yakawaida tofauti na mtangulizi wake kwenye nafasi ya Uwenyekiti. Kwa hiyo, mtulie naye hivyo hivyo na mjichanganye Tena mumpe kugombea Urais. Mtapotea Mazima!!!
Wa Lissu au hujui?Ushoga upi tena? Mbona kama umechanganyikiwa?
Mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikiaLissu ameeleza kuwa hakuna mpasuko kwenye chama chao na pia amesema wamefanya uchaguzi wa kihistoria kwa mara ya kwanza katika historia ya chama chao kwa takribani zaidi ya miaka 30.
Ameeleza pia makovu hayakosekani itatuchukua muda lakini majeraha yote yatapoa na kuisha kabisa
View attachment 3240503