Pre GE2025 Lissu ataka mabalozi wa nchi mbalimbali wawepo kama waangalizi wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ili "kuongeza macho"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila mbowe sidhani kama ataafiki Hilo la kuangaziwa uchaguzi ndo ujue sasa kuna nn kinaendelea pale! democrasia ni rahisi sana kutamka ila utekelezaji wake ni mgumu! mbowe dhihirisha democrasia Kwa vitendo hatutaki maneno sie!
 
Yanii uyu Jomba yeye na Wazungu tu kuna kitu katumwa uyu sikuzote mbona akuitaji wazungu akukuwa na Chaguzi Chadema !!!!! Wenzake walianza zamani kuisaka haki lkn uyu uyu Lisu akawa ndio kikwazo leo anataka Uchaguzi wake yeye alete Wazungu ndani sitashangaa na mawakala wake wakawa Wazungu!!!
 
Ni rahisi tu. Waletwe hao mabalozi anaowataka. Atakaposhindwa waangalizi wakiwepo atakosa neno. Akikataliwa halafu akashindwa atakuwa na hoja na nguvu ya kulalamika.
 
Hilo halina tatizo. Muhimu ni asizuiwe mtu kugombea. Au kupiga kura. Sitashangaa kuona wapiga wakiwekewa mapingamizi kuwa ni chawa wa Mbowe.

Amandla...
 
Ni rahisi tu. Waletwe hao mabalozi anaowataka. Atakaposhindwa waangalizi wakiwepo atakosa neno. Akikataliwa halafu akashindwa atakuwa na hoja na nguvu ya kulalamika.
Sidhani ( inawezekana nimekosea) kama mabalozi wanaweza kujiingiza katika masuala ya ndani ya vyama vya siasa. Wanaweza kutuhumiwa na serikali kuwa wanavuka mipaka yao. Hata hivyo tunakoelekea ni kuwa hatakosa neno hata kama utasimamiwa na malaika. Amejiingiza kwenye mtego aliochonga mwenyewe.

Amandla....
 
Reactions: Tui
Kwani balozi ni wazungu tu ata balozi wa kagame na museveni si wapo
 
Upuuzi mtupu..
Yaani Consulate waache kazi zao waje kumshadadia lisu na mbowe ?
 
Ila mbowe sidhani kama ataafiki Hilo la kuangaziwa uchaguzi ndo ujue sasa kuna nn kinaendelea pale! democrasia ni rahisi sana kutamka ila utekelezaji wake ni mgumu! mbowe dhihirisha democrasia Kwa vitendo hatutaki maneno sie!
Wakishindwa kupprove hapa mwakani tusiwasikie majukwaani eti tumeibiwa kura na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…