Pre GE2025 Lissu ataka mabalozi wa nchi mbalimbali wawepo kama waangalizi wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ili "kuongeza macho"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.

Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Haya ndiyo maneno yake:

"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"

===========================================

Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?

Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?

View attachment 3189947
Wizi kwa maslahi ya dunia popote penye uchaguzi utakuwepo. Madhali Mtu ataeshinda atapata sifa, pesa na maslahi mengine wizi lazima utakuwepo
 
Mkuu huo uchaguzi kuna upande una full sapoti ya chama tawala,ambacho hicho chama ndo kimeunda serikali na jamaa anajua kua hiyo sapoti ipo,hivyo anachukua tahadhari.
 
Wakuu,

Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.

Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Haya ndiyo maneno yake:

"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"

===========================================

Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?

Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?

View attachment 3189947
Proactiveness
 
Jamaa anajiamini sana kushinda Uchaguzi
Hajiamini. Anaweka mazingira ya kulalamika atakaposhindwa. Uchaguzi wa chama gani cha siasa duniani unashirikisha mabalozi, taasisi za nje, viongozi wa dini? Swali rahisi ni nani atakayeamua mabalozi gani waalikwe? Na viongozi wa dini zipi waalikwe? Na siku ya kuchagua mgombea wa chama chake katika nafasi ya uRais? Na ndio itakuwa hivi katika chaguzi zote zijazo? Na nani atagharamia maana hata pesa za kuendesha Mkutano Mkuu wenyewe hawana? Ni usanii mtupu. Lissu should be better than this.

Amandla...
 
M
Mbowe atakubali haya masharti. Hapo ndipo Lissu atasogeza tena magoli. Anaweza kudai wanao hesabu kura wasivae nguo zozote na wasiwe na nywele ndefu.

Amandla...
Muungwana na mkweli akishindwa hukubali haraka. Asikilizwe ili kuziba kelele. Waalikwe tu. Na Mbowe akiomba jambo la wazi naye asikilizwe halafu matokeo yawekwe hadharani , kwani nini tatizo.
 
Yaani bado hajasema, angeyaweka kwenye katiba ya chama, kama hayamo, hiyo itakuwa ni wishful thinking tu
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
M

Muungwana na mkweli akishindwa hukubali haraka. Asikilizwe ili kuziba kelele. Waalikwe tu. Na Mbowe akiomba jambo la wazi naye asikilizwe halafu matokeo yawekwe hadharani , kwani nini tatizo.

Woga wa asubuhi asubuhi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Wakuu,

Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.

Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Haya ndiyo maneno yake:

"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"

===========================================

Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?

Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?

View attachment 3189947
Ili wamsaidie nini Sasa?

Sawa watakuja ila na Mbowe akiamua kuleta watu wa Serikali kuwa waangalizi asije kuanza kupayuka kama mwehu.
 
Huu uchaguzi wa mwaka huu ndani ya CHADEMA ni kiboko..

CHADEMA mliitaka serikali na Rais Samia Suluhu Hassan aruhusu Scotland Yard au MOSSAD au CIA waje wachunguze utekaji na mauaji yanayoendelea nchini kwa kuwa Police Tanzania na TISS wanadhaniwa kuhusika na hivyo hawataweza kujichunguza wenyewe. Hii ni kweli na kila mtu alikubaliana na nyie...

Sasa leo mambo si mambo ndani ya chama chenu wenyewe. Mnapaswa kutekeleza hili. Mnapaswa kuruhusu mabalozi na viongozi wa dini waje wawafanyie monitoring ya uchaguzi wenu. Hili ni jema bila shaka, au siyo...?

Kikwazo ni kimoja tu:

Freeman Mbowe na genge lake wanaofanya kila njia kumshindisha kwa kura feki, mbinu za kimafia za ki - CCM watakuwa tayari kukubali? Watatoka wazi na kuunga mkono pendekezo hili..?

Hiki ndicho kipimo cha ukweli na uthabiti wa mioyo yao...!!
 
Ili wamsaidie nini Sasa?

Sawa watakuja ila na Mbowe akiamua kuleta watu wa Serikali kuwa waangalizi asije kuanza kupayuka kama mwehu.
Hao watu wa serikali ndio wepi? Kina nani hao?

Au ndiyo wale wa kuingiza maboksi ya kura feki..?

Ndio wale wanaotaka zoezi lifanyike usiku, kisha wafanye timing, wazime taa, wafanye vitu vyao, au siyo..?

Kumbe hawa ndio "watu wa serikali wa Mbowe..?"

This is very ridiculous...
 
Back
Top Bottom