Jaribuni muone..
Mwamba huyu mwaka 2017 (uchaguzi wa TLS) wakati wa Jiwe Pombe Magufuli mlitumia njia hizihizi kuhakikisha hawi Rais wa TLS, mliweza..?
Mlishindwa vibaya na jamaa akawapiga kwa TKO...
Mlipoona hivi, mkaja na option ya kumuwinda kwa bunduki za SMG na AK47, risasi 16 zikaingia mwilini, hazikuondoa uhai wake...
Hujiulizi tu huyu ni mtu wa namna gani..?
Mbona mko kama wale Wayahudi wajinga waliomtungia mashitaka ya uhaini wa uongo Yesu Kristo, akahukumiwa adhabu ya kifo, akawaambia siku ya tatu nitafufuka na ndio mwisho wa mambo yenu, na bado alipofufuka, wakamuona kwa macho yao lakini bado wakaendelea kuwa wajinga tu...?
Kwanini nanyi mu wajinga kiasi hiki? Wewe
ChoiceVariable unaweza kupona kweli hata ukipigwa na Jiwe dogo tu la manati matakoni mwako..?
Acheni kuwa wajinga. Acheni kupambana na wakati wa Mungu. Alilopanga <Mungu liwe, hakuna wa kuzuia..
Njooni siku hiyo TISS na UVCCM wote muone mtavyoaibika...