Uchaguzi 2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

Uchaguzi 2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

Joined
Aug 18, 2020
Posts
3
Reaction score
57
25 August 2020

CCM na serikali yake imekuwa na vikao visivyoisha kutafuta mbinu, sababu, na kupima matokeo ya kumkwamisha Lissu ili asiweze kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo Octoba 28 2020.

Mpaka kufikia jana options zote za kumkata Lissu zilikuwa ni ngumu sana. CCM mpaka sasa imebaki na plan ya mwisho ambayo hutumika katika kila uchaguzi mkuu. Tofauti na ilivyo miaka yote, wafuasi wengi wa CCM wenye dhamana ya kukivusha chama wanahofia huenda plan hiyo ikakwama. Lakini kuna mkono mwingine wa hesabu za kijinga za a = b, b = c, then a = c za yule kamanda mpana kama paja la tembo ndizo zinawapa matumaini kwa sasa.

PI
 
Mimi natamani wamkate ili kinuke tu maana heshima haiji hivi hivi, kikishanuka ndio itakuwa mwanzo na mwisho kwa chama chochote cha siasa kutambua ya kwamba uongozi ni dhamana tu na ukishapewa dhamana fanya yale wanachanchi waliokutuma kufanya
Ili kutambua chama tawala na chama Cha upinzani Ni kipi Ni TL akatwe.
 
Hawa jamaa wa Mali pamoja na idadi hiyo ya RAIA 19 milioni ambayo ni chini hata ya wapiga kura wetu ambao ni 29 milioni wameweza kufanya mageuzi ambayo yalimfanya Rais Keita kuruka geti kukimbia jee watashindwa hawa wa kwetu kama watazinguliwa?
Screenshot_20200825-063139.jpg
 
Kumhofia Lissu ni aibu kwa Magufuli na CCM chama kinachojinasibu kufanya mambo makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka mitano tu.

Watanzania wamefika ukomo wa uvumilivu. Kama NEC watarubuniwa kisha kujaribu kumuengua Lissu wajue kwamba nchi haitakalika kwa vurugu.

CCM, nyie si mmejenga madaraja, sasa wasiwasi ni wa nini juu ya kushinda uchaguzi?
 
Ni wewe na nkeo ndo mmefikia ukomo wa uvumilivu.
 
Nyie bangusilo kwani kuna Mtu kasema atamzuia ama wenyewe mnajitekenya kutengeneza kiki
Bangusilo mama yako ambaye maoni haya kugegedwa na mimi rika la mtoto wake wa kwanza! AMA kweli ng'ombe hazeeki maini!
 
Huyo bichwa baya wenu asiyejua kuongea kiingereza, mara hii ataishia the Hague la sivyo akimbilie kwao Rwanda.

Tutamgombea na kumchanachana vipande mithili ya digidigi aliyeraruliwa na mbwa mwitu kule Serengeti.
Ni wewe na nkeo ndo mmefikia ukomo wa uvumilivu.
 
Ccm wanajua ushindi ni wao,ila hata wakimkata watamkata kwasababu ya hofu ya kupata magonjwa ya moyo baada ya Tundu Lissu kuanza kampeni,CCM ya sasa inaogopa sana ushindani wa hoja,tofauti na ile CCM ya kabla ya 2016,waoga halafu wanapenda kusifiwa sana.
 
Mimi natamani wamkate ili kinuke tu maana heshima haiji hivi hivi, kikishanuka ndio itakuwa mwanzo na mwisho kwa chama chochote cha siasa kutambua ya kwamba uongozi ni dhamana tu na ukishapewa dhamana fanya yale wanachanchi waliokutuma kufanya
Inawezekana wasimkate, lakini hata wakimkata hakitanuka nakwambia. Itakua kama juzi kama jana. Hii ndio Bongo bana, watu watakushangilia tu kwenye mikutano ya hadhara na kupiga maneno kwenye keyboard kama hivi lakini wale jamaa kwenye gari la washawasha na ma defender wakianza kurandaranda mitaani kila mtu kwao🤣🤣🤣. Wabongo wanataka mabadiliko yashuke kutoka mawinguni kama mvua
 
Back
Top Bottom