Uchaguzi 2020 Lissu atarudisha fomu na kuingia kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Urais, hakuna wa kumzuia

Huyo bichwa baya wenu asiyejua kuongea kiingereza, mara hii ataishia the Hague la sivyo akimbilie kwao Rwanda.

Tutamgombea na kumchanachana vipande mithili ya digidigi aliyeraruliwa na mbwa mwitu kule Serengeti.
Kujua kiingereza kwa lissu huku hana maelekezo ni sawa na kujua kuongea kijauo tuu.
 
Bangusilo mama yako ambaye maoni haya kugegedwa na mimi rika la mtoto wake wa kwanza! AMA kweli ng'ombe hazeeki maini!
Kweli bangusilo sasa unataka tushindane kutukana wazazi bwana bangusilo?
 
Mimi natamani wamkate ili kinuke tu maana heshima haiji hivi hivi, kikishanuka ndio itakuwa mwanzo na mwisho kwa chama chochote cha siasa kutambua ya kwamba uongozi ni dhamana tu na ukishapewa dhamana fanya yale wanachanchi waliokutuma kufanya
Kwanini usitamani wamkate mgombea wa CCM ili wao wawe wa kwanza kukinukisha?
 
Daaah yaan hii Kiki imetufanya ata sisi tusiopenda siasa tutamani kuangalia ubaoni iyo saa kumi jioni. Patamu apo

Haki Huinua Taifa
 
Hivi hamuwezi kukaa polepole,mnaropoka sana na huyo mgombea wenu sio threat na hakuna mahali anaenda.
 
Mimi natamani wamkate ili kinuke tu maana heshima haiji hivi hivi, kikishanuka ndio itakuwa mwanzo na mwisho kwa chama chochote cha siasa kutambua ya kwamba uongozi ni dhamana tu na ukishapewa dhamana fanya yale wanachanchi waliokutuma kufanya
Labda namna hii ccm itaanza kutuheshimu maana wanawachokoza watz kila siku ili wakinukishe lkn tumekaa kimya.....

Sasaaaaa........ Baaasssss......
 
Daaah yaan hii Kiki imetufanya ata sisi tusiopenda siasa tutamani kuangalia ubaoni iyo saa kumi jioni. Patamu apo

Haki Huinua Taifa
Siasa lazima uifuatilie maana ndo imeshika hatamu ya maendeleo yako tamko mmoja tu la mwanasiasa linaweza sababisha hasara kwako au faida!!siasa ni maisha

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Let's face it!
Yaani badala ya kususia uchaguzi na kusisitiza Tume Huru mnakuja kujificha huku na haya matumaini hewa!!??
Wakisusa watajimaliza wenyewe, rejea kilichotokea uchaguzi serikali za mitaa.
 
Wanajitoa ufahamu
 
walikuwepo wakubwa zaidi yake walikatwa sembuse yeye atakatwa na nchi itatulia
 
Wakisusa watajimaliza wenyewe, rejea kilichotokea uchaguzi serikali za mitaa.
Muda wa kususa ulishapita kitambo... Sa hivi ni kuhamasisha wananchi wawe upande wao...
Jiwe kwa jiwe...
Jino kwa jino...
Ngumi kwa ngumi...
Waache kulia lia kama vichekechea...
 
Kuongoza chadema ni raha sana, hakuna mwenye akili ya kuhoji!
Aliyesema Lisu atakatwa ni nani ???
Labda niwakumbushe tu
kugombea ni haki yake!
kupiga kura ni haki yetu!
kura siyo ushabiki,
Kumbuka, tunapiga kura kwa faida yetu na watoto na kizazi kijacho!

Na maandiko yapo wazi, mwenye nacho ataongezewa
jiandaeni .......
 
Week yote kumekuwa na vikao vingi kati ya NEC jaji kaijage binafsi kakaa na IGP Shibuda Lipumba polepole kujadili jinsi ya kumkomoa Tundu lisu kuidhoofisha chadema
 
Lissu ni Samson wa leo. Anaua Simba kwa mikono.
CCM kushinda labda wapinzani washindwe kutoa kampeni zinazowagusa watanzania wa hali ya Chini na kati ambao wanaweza kuendelea na maisha yao bila kuwa na Bombadier ,Stiglers Gorge na Reli. Kabala ya Kuja mifumo kandamizi ya kizungu inayoendelezwa na CCM Kilwa ulikua ni mji mkubwa sana Duniani wenye wafanyabiashara na matajiri wengi sana walioendesha maisha yao vizuri.
Hapakua na ndege wala Reli.
Maisha ya watu ili yawe mazuri inahitajika fursa nzuri za kiuchumi na sheria rafiki kwa mtu yeyote kufanya biashara.

Hakuna mtu akiyeshindwa kwenda China kwa sababu ya kukosa usafiri wa ndege. Ndege zipo hata kama sio za kwetu lakini zinauwezo wa kutufikisha tunakokwenda.
Kuchukua pesa za kuwaongeza walimu mishahara na kununua ndege ili hali watu miaka yote wanasafiri bila kukosa usafri ni kuelekeza vipaombele vya Nchi vibaya.
 

Bravooooooo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…