Mmelegea mbendembende 😂Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.
Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania
Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Alishaanza kusema mbona?😂😂Kama mtu yule aliweza kusema "mbona mimi siandikwi fontifed?" Basi ipo siku(au tayari?) atauliza "mbona mimi sishangiliwi kama yule mwingine?"
Kaenda mbali zaidi,anauliza kwa nini apewe mitano tu!Kama mtu yule aliweza kusema "mbona mimi siandikwi fontifed?" Basi ipo siku(au tayari?) atauliza "mbona mimi sishangiliwi kama yule mwingine?"
Wafuasi wengi wa chadema waligoma kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura baada ya kukosa dola 2015, hata wakichanga kura hazitatoshaaa.
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.
Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.
Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.
Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.
https://www.facebook.com/Tuwekee na tangazo lenye maelekezo ya kuchangia, kwenye simu naona nina salio nichangie harakati za kuwang'owa wakoloni weusi.
Wanaotaka mabadiliko ni watanzania sasa wewe unaeleta ubaguzi sijui umetoka wapi?Wafuasi wengi wa chadema waligoma kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura baada ya kukosa dola 2015, hata wakichanga kura hazitatoshaaa.
Saitakuaje
Tulio kosa ajira kwa miaka 5 ni yeye 2020
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.
Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.
Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.
Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.
https://www.facebook.com/