Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Hilo si hitaji la watanzania Dodoma wamemhurumia sana wangempiga maweKatika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala ww awwmu hii ya awamu ya Tano.
Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu aisa kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kua umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.
Lissu alikuwa na haya ya kusema:
Anakoelekea atapondwa mawe MTU muongo muongo mchonganishi tuKatika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala ww awwmu hii ya awamu ya Tano.
Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu aisa kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kua umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.
Lissu alikuwa na haya ya kusema:
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!Katika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala ww awwmu hii ya awamu ya Tano.
Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa Nane, kuuawa kamanda mawazo na Matukio yaliyotokea Mkuranga na Kibiti, Lissu aisa kuna haja kama Taifa kujitafakari na kuona kuwa kua umuhimu wa kuiondoa serikali hii ya Magufuli adarakani na kuweka nyingine ambayo haitofanya mambo hayo ya kuumiza watu kama yaliyofanyika chini ya utawala wa awamu hii.
Lissu alikuwa na haya ya kusema:
Ukweli una tabia moja....unauma sana.Anakoel
Anakoelekea atapondwa mawe MTU muongo muongo mchonganishi tu
Watataga mwaka huu. Mpk John anaanza kuuliza eti yeye ana kosa gani asipewe mitano mingine? Hakika hali yao mbayaTundu Lissu kawashika MATAGA kunako hakiyanani!
Yaani ww ni bonge la mwendawazimu, kwn ni kipi lissu ameongopa?? Azory alipatikana?? Mawazo hakuuwawa?? Ben je?? Lissu hakupigwa risasi?? yule kagoye wa kigoma alipatikana???Anakoel
Anakoelekea atapondwa mawe MTU muongo muongo mchonganishi tu
John kaingiwa mchecheto kinyama yaani!Watataga mwaka huu. Mpk John anaanza kuuliza eti yeye ana kosa gani asipewe mitano mingine? Hakika hali yao mbaya
Hilo si hitaji la watanzania Dodoma wamemhurumia sana wangempiga mawe
Anakoel
Anakoelekea atapondwa mawe MTU muongo muongo mchonganishi tu
Huyo jamaa Ni kenge wa lumumba kwn hana hoja amebakia kumbwela mbwela tuunataka kutwambia kuondokana na ukatili, unyanyasaji wa raia, na kufutilia mbali vitendo vya kidhalimu siyo hitaji la wananchi?
Hujielewi wewe!
unataka kutwambia kuondokana na ukatili, unyanyasaji wa raia, na kufutilia mbali vitendo vya kidhalimu siyo hitaji la wananchi?
Hujielewi wewe!
Hawa wameambiwa watetee hata ikibd wavue nguo
Anakoel
Anakoelekea atapondwa mawe MTU muongo muongo mchonganishi tu
Tena ingewezekana Lissu angeandika kijitabu japo cha kurasa chache tu kuelezea kwa kifupi historia na madhila yaliyompsta katika hizi harakati. Kiuzwe bei ndogo tu kingesaidia sana kwenye huu mchakato.Ndiyo maana wako busy kudiscourage Lissu asiongelee tukio lake la kupigwa risasi maana linampa image mbaya "Jamaa yao" mbele ya wananchi.
Na pia wako busy kudiscourage Lissu kuongelea masuala ya unyanyasaji, ukatili, uonevu, kwa sababu yanawafanya wananchi wawaone hawana maana!
Ndiyo maana wako busy kudiscourage Lissu asiongelee tukio lake la kupigwa risasi maana linampa image mbaya "Jamaa yao" mbele ya wananchi.
Na pia wako busy kudiscourage Lissu kuongelea masuala ya unyanyasaji, ukatili, uonevu, kwa sababu yanawafanya wananchi wawaone hawana maana!
Mbowe alimuua apate kiki za kisiasa msengerema wwYaani ww ni bonge la mwendawazimu, kwn ni kipi lissu ameongopa?? Azory alipatikana?? Mawazo hakuuwawa?? Ben je?? Lissu hakupigwa risasi?? yule kagoye wa kigoma alipatikana???