Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Eti huwa anawapungizia nauli, wabongo bana sijui akili zao zinakuwaje tuMorogoro Mjini sijui huwa wanafeli wapi, wamezoea kumpa kura yule jamaa miaka yote kisa huwa anawasaidia kuwazika ndugu zao, yaani akili za watu huwa zinatekwa kirahisi sana.
Kukosa elimu bora na maarifa ndio tatizo la watanzania walio wengi wakiwemo baadhi ya ma-professors!Morogoro Mjini sijui huwa wanafeli wapi, wamezoea kumpa kura yule jamaa miaka yote kisa huwa anawasaidia kuwazika ndugu zao, yaani akili za watu huwa zinatekwa kirahisi sana.
Umasikini wa akili unawasumbua hao, wanaamini mwarabu anaweza kuwaleteea maendeleoMorogoro Mjini sijui huwa wanafeli wapi, wamezoea kumpa kura yule jamaa miaka yote kisa huwa anawasaidia kuwazika ndugu zao, yaani akili za watu huwa zinatekwa kirahisi sana.