Pre GE2025 Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa

Pre GE2025 Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini hawapaswi kujihusisha na siasa ni nonsense tu ya watu wasiojua historia ya nchi hii ama wenye lengo la kupotosha" - Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma: LGE2024 - Viongozi wa Dini na Siasa Tanga waridhishwa na Uchaguzi Serikali za Mitaa
 
Viongozi wa kiroho ndio wenye dira ya mwelekeo wa wanadamu duniani. Ni daraja la kati ya ulimwengu wa kimwili na ulimwengu wa kiroho. Ni watu wa muhimu sana kwenye jamii, katika kuhakikisha ustawi wa jamii husika.
 
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini hawapaswi kujihusisha na siasa ni nonsense tu ya watu wasiojua siasa ya nchi hii ama wenye lengo la kupotosha" - Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3240209
Ni kweli kabisa kwamba Viongozi wa dini wenye Busara na Hekima wamekuwa wakitoa mchango muhimu sana katika mchakato wa Kupigania HAKI za kijamii. Viongozi wa dini wengi sana ni wamekuwa Key-players katika masuala haya ya HAKI na Demokrasia katika nchi mbalimbali hapa duniani.
Mathalani, Askofu Desmond Tutu wa Kanisa la Anglican la Afrika Kusini alikuwa mtu muhimu sana katika mchakato wa Kupigania Uhuru, Haki, na Utawala wa Kidemokrasia katika nchi hiyo enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi kwenye nchi hiyo.
 
Viongozi wa dini ni wazuri tu kipindi wanapo save your purpose and fuel your agenda..

Siku wakigeuka na wao wakapenda madaraka kwa namna yeyote nchi itaharibika

Sio vitu vya kushabikia sana... Kumbuka hao wote ni wakristo ..

Siku na madhehebu mengine yakaamua liwalo na liwe nchi itaparanganyika .

Sio kitu cha kufurahia hata kidogo..

Wachungaji wafanye siasa zao makanisani na sio kwenye majukwaa ya siasa
 
Attachments

  • Sheikh Alhad Mussa.jpeg
    Sheikh Alhad Mussa.jpeg
    105.6 KB · Views: 1
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini hawapaswi kujihusisha na siasa ni nonsense tu ya watu wasiojua historia ya nchi hii ama wenye lengo la kupotosha" - Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA
View attachment 3240209
Soma: LGE2024 - Viongozi wa Dini na Siasa Tanga waridhishwa na Uchaguzi Serikali za Mitaa
Hao wote ni wasaka tonge tuu. Hakunà hata mmoja yupo kutetea raia.
 
Back
Top Bottom