"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini hawapaswi kujihusisha na siasa ni nonsense tu ya watu wasiojua historia ya nchi hii ama wenye lengo la kupotosha" - Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA
Viongozi wa kiroho ndio wenye dira ya mwelekeo wa wanadamu duniani. Ni daraja la kati ya ulimwengu wa kimwili na ulimwengu wa kiroho. Ni watu wa muhimu sana kwenye jamii, katika kuhakikisha ustawi wa jamii husika.
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini hawapaswi kujihusisha na siasa ni nonsense tu ya watu wasiojua siasa ya nchi hii ama wenye lengo la kupotosha" - Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA View attachment 3240209
Ni kweli kabisa kwamba Viongozi wa dini wenye Busara na Hekima wamekuwa wakitoa mchango muhimu sana katika mchakato wa Kupigania HAKI za kijamii. Viongozi wa dini wengi sana ni wamekuwa Key-players katika masuala haya ya HAKI na Demokrasia katika nchi mbalimbali hapa duniani.
Mathalani, Askofu Desmond Tutu wa Kanisa la Anglican la Afrika Kusini alikuwa mtu muhimu sana katika mchakato wa Kupigania Uhuru, Haki, na Utawala wa Kidemokrasia katika nchi hiyo enzi za Utawala wa Ubaguzi wa rangi kwenye nchi hiyo.
"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini hawapaswi kujihusisha na siasa ni nonsense tu ya watu wasiojua historia ya nchi hii ama wenye lengo la kupotosha" - Tundu Lissu, Mwenyekiti CHADEMA View attachment 3240209
Soma: LGE2024 - Viongozi wa Dini na Siasa Tanga waridhishwa na Uchaguzi Serikali za Mitaa