Mama Abdul ni nani ?
🤣..ni mtu toka Tanzania-visiwani.
🔥🔥Sidhani kama yuko mtu ndani ya CCM anaweza kujibu hoja za Lissu.
Sidhani kama CCM watavumilia Lissu atimize azma yake ya kufanya mikutano Singida, Dodoma, na Morogoro.
Msikilizeni hapa chini jinsi anavyoelewana na wananchi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ScnK4620Ib4
ukimwelewa lissu anataka niniujue tayari wendawazimu unakunyemelea kama yeye alivyo